Embu jikite kujibu swali maelezo unayotoa sio majibu kabisaAllah hadnganyi bali husema ukweli mtupu.
Lakini jiulize wewe,
Tokea dunia Iumbwe Binadamu alijiliwa na Manabii wakiwataka wamuabudu Mungu moja.
Lakini nyinyi munataka watu wamuabudu Yesu ,Eti yeye ndiyo kaja kuokowa Ulimwengu kwa Kifo chake,
Jiulize ni Miaka mingapi ilipita paka Mungu kufanya maamuzi ya kushuka Mwenyewe Duniani nakujigeuza Kuwa Mtu?
Huoni kuwa wengi hapo kati wamepotea na hata imani zao zilikuwa za Mungu mmoja asiyekuwa Mtu?
Mungu Hasemi Uongo.
Bali Nyinyi ndiyo mufundishao mafundisho ya Uongo ya Wanadamu.
Kama hajadangaya eleza kwa nini aliweka Isa bandia na watu wakaona Isa kasulubiwa kwa nini alifanya hivyo?