Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Kila lugha ina namna yake ya matamshi
Hii ni sahihi. ndio maana
Jesusu, au yesu kwa kiarabuni Issa- Mwana wa Mariamu
Lakini tunajua kuwa ni yule yule kwa kufanana matokeo ya Kuzaliwa kwake, jina la mama yake na kisa cha kusulubiwa na kupaakwenda mbunguni.
kwa kule kufanana kwa matokeo hayo tunabaini kuwa Yesu ndiye Isa
Ahsante
 
Acha uongo 😂😂😂😂😂 Isa ni ndugu na Haruni na Musa na baba Yao ni Imran, Yesu hayupo huko kabisa Yesu ni uzao wa Daudi ambae ni kabila tofauti na Musa
 
Yesu taarifa zake ziliandikwa na eye witnesses na hana uhusiano wowote na huyo muhammad na ndoto zake za mapangoni alizoletewa na waraqua miaka zaidi ya 600 baadae.
 
Allah ni Lucifer ndio alimpa Muhammad mafunuo na kikubwa ilikuwa kumpinga Yesu
Ndio maana unakuta aya za mapepo demons surah nzima ndani ya Koran , kumbuka demons ni wasaidizi wa shetan
😡😡😡😡😡 Wewe unachuki zako binafsi
Haya uyasemayo hayana ushahidi wowote, bali ni Jazba zako na chuki.
Allah ni Muuba wa kilakitu.
Malaika, Majini na Wanadamu ni viumbe tu.
Malaika wameumbwa kwa Nuru.
Adamu kumbwa kw Udongo
Majini wameumbwa kwa moto.
Wadudu ,wanyama,Samaki na mimea imetokana na Udongo pia.
Sasa habari za Lucifer (Shetani) aliye asi amri za Mungu tangu mwanzo zimeelezwa vema katika Qur-an na pia katika Biblia.
Lucifer (Shetani) ni Majini walioasi ,japo nynyi wakristo munasema ni malaika walioasi na wakageuzwa Majini, lakiniukweli uko pale pale kuwa ni shetani.
Hata wewe unaweza kuwa mmoja wa Mashetani ikiwa utamuasi Mungu na kumtii Lucifer.

Nakusihi ,jiongeze kitaaluma , wacha Jazba na Mihemko ya kiadui.
Mimi ni binadamu kama wewe , nina akili kama za kwako ,na maamdiko tumeyakuta na wajibuni kuso na kuyafahamu. na kuvumiliana kwa maamuzi ya Imani zetu ndiyo uungwana sio kutukanana.

Mimi nakuona wewe u mtu mwema na Unafanana sana na Muhammad ikiwa utakuwa mtulivu na mwenye kujiongeza.
Muhammad Hajawahipomtukana Yesu, bali kamsifu na kumtukuza , na ni yeye aliyesema kuwa Yesu ni ndugu yake. na akatuambia kuwa atarudi akiwa miongoni mwetu na akatutaka tunkubali akirudi na tumuamini.
Sasa shida iko wapi?
Au wewe si mfuasi wa yesu?
 
Mapepo yameandikwa surah nzima ndani ya Koran,
Na Mimi siwezi kabisa kuwa kama Muhamma mtu Alie fanya child molestation kubaka kitoto kumbuka angekuwepo leo hii tungemfunga maisha au kumnyonga
 
Acha uongo 😂😂😂😂😂 Isa ni ndugu na Haruni na Musa na baba Yao ni Imran, Yesu hayupo huko kabisa Yesu ni uzao wa Daudi ambae ni kabila tofauti na Musa
Uongo wangu uko wapi?
Huyu Mariamu si katika uzao wa Israili - kupitia Isaka na Ibrahimu
Na huyu Muhamad si katika uzao wa Ishmael na Ibrahimu.
Au hujui Nasabu za wtu hawa?
Ok basi ikiwa hawakupinga wayahudi wenyee , uje kupinga wewe Msukuma?
wewe Mokiti una shida.
 
Mapepo yameandikwa surah nzima ndani ya Koran,
Na Mimi siwezi kabisa kuwa kama Muhamma mtu Alie fanya child molestation kubaka kitoto kumbuka angekuwepo leo hii tungemfunga maisha au kumnyonga
Walishatangulia wenzio wengi kumtukana Mtume Muhammad mwenye sifa njema (saw)
Hatimae waliishia kusilimu na kuona aibu na wengine walijinyonga kwa Husuda zao.
Wewe si wa kwanza, na hutakuwa wa mwisho.
Mimi nashudia kuwa Yesu alikuwa mtu mwema na mwenye baraka tele na Miujiza ede kede ya Mungu .
Sija mtusi, na wala sikutusi wewe ,bali nakuona mtu usiye taka kuongeza kielimu
 
Yesu Kristo wa Nazareth sio Issa wa kwenye quran. Kwanini mnapenda kulazimisha? Quran haina utambulisho wa kujitegemea mpaka ihusishwe na biblia?
Ni kweli wametofautiana vitu vingi. Huyu wa kwenye biblia amelaaniwa.

Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
 
Ni kweli wametofautiana vitu vingi. Huyu wa kwenye biblia amelaaniwa. Hapa kuna upande mmoja watakuwa wapo sahihi.

Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
 
Ni kweli wametofautiana vitu vingi. Huyu wa kwenye biblia amelaaniwa.

Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
Tumia quran kwasababu ndio kitabu chako. Biblia hauielewi na huwezi kuitafsiri.

Quran inatakiwa iweze kusimama bila kutafuta huruma kwenye biblia.
 
Usinilazimishe kuchagua kitabu. Nyie mnaoelewa mbona mnashindwa kuchambua kitabu chenu? Upinge kwa maandiko kama Kristo mnayemuabudu hajalaaniwa.

Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
 
Usinilazimishe kuchagua kitabu. Nyie mnaoelewa mbona mnashindwa kuchambua kitabu chenu? Upinge kwa maandiko kama Kristo mnayemuabudu hajalaaniwa.

Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
Kwahiyo kwa akili zako fupi nyoka ndio shetani?
 
Mimi naomba kuuliza hao uliowataja walikuwa wanafunzi au Mitume?na unajua maana ya Mtume,na Mtume anapewa utume na nani?
Mitume wamepewa utume wao na Yesu Kristo wa Nazareth, Mungu aliyehai.
 
Uongo wangu uko wapi?
Huyu Mariamu si katika uzao wa Israili - kupitia Isaka na Ibrahimu
Na huyu Muhamad si katika uzao wa Ishmael na Ibrahimu.
Au hujui Nasabu za wtu hawa?
Ok basi ikiwa hawakupinga wayahudi wenyee , uje kupinga wewe Msukuma?
wewe Mokiti una shida.
Walimoinga na wayahudi walimfuata mke toto Aisha kumwambia jamaa Ake muhammad anachanganya history Muhammad alivyoona kaharibu ikabidi akomae na uongo wake akasema walikuwa wanaitwa uzao wa manabiii😂😂😂😂😂

Issue kubwa ilikuwa Kuna dada wa Musa na Haruni alikuwa anaitwa Miriam ndio hapo mudi akachanganya akagikiti Mariam ndio huyo huyo
 
😡😡😡😡😡 Wewe unachuki zako binafsi
Haya uyasemayo hayana ushahidi wowote, bali ni Jazba zako na chuki.
Allah ni Muuba wa kilakitu.
Malaika, Majini na Wanadamu ni viumbe tu.
Malaika wameumbwa kwa Nuru.
Adamu kumbwa kw Udongo
Majini wameumbwa kwa moto.
Wadudu ,wanyama,Samaki na mimea imetokana na Udongo pia.
Sasa habari za Lucifer (Shetani) aliye asi amri za Mungu tangu mwanzo zimeelezwa vema katika Qur-an na pia katika Biblia.
Lucifer (Shetani) ni Majini walioasi ,japo nynyi wakristo munasema ni malaika walioasi na wakageuzwa Majini, lakiniukweli uko pale pale kuwa ni shetani.
Hata wewe unaweza kuwa mmoja wa Mashetani ikiwa utamuasi Mungu na kumtii Lucifer.

Nakusihi ,jiongeze kitaaluma , wacha Jazba na Mihemko ya kiadui.
Mimi ni binadamu kama wewe , nina akili kama za kwako ,na maamdiko tumeyakuta na wajibuni kuso na kuyafahamu. na kuvumiliana kwa maamuzi ya Imani zetu ndiyo uungwana sio kutukanana.

Mimi nakuona wewe u mtu mwema na Unafanana sana na Muhammad ikiwa utakuwa mtulivu na mwenye kujiongeza.
Muhammad Hajawahipomtukana Yesu, bali kamsifu na kumtukuza , na ni yeye aliyesema kuwa Yesu ni ndugu yake. na akatuambia kuwa atarudi akiwa miongoni mwetu na akatutaka tunkubali akirudi na tumuamini.
Sasa shida iko wapi?
Au wewe si mfuasi wa yesu?
Siku zote mkweli huongea kwa wema mtupu,Uisilamu ni alama ya upendo.Mungu akuzidishie elimu
 
Uongo wangu uko wapi?
Huyu Mariamu si katika uzao wa Israili - kupitia Isaka na Ibrahimu
Na huyu Muhamad si katika uzao wa Ishmael na Ibrahimu.
Au hujui Nasabu za wtu hawa?
Ok basi ikiwa hawakupinga wayahudi wenyee , uje kupinga wewe Msukuma?
wewe Mokiti una shida.
Walimoinga na wayahudi walimfuata mke toto Aisha kumwambia jamaa Ake muhammad anachanganya history Muhammad alivyoona kaharibu ikabidi akomae na uongo wake akasema walikuwa wanaitwa uzao wa manabiii😂😂😂😂😂

Issue kubwa ilikuwa Kuna dada wa Musa na Haruni alikuwa anaitwa Miriam ndio hapo mudi akachanganya akafikiti Mariam ndio huyo huyo
 
Kwahiyo kwa akili zako fupi nyoka ndio shetani?
Kwani we ulidhani nyoka anawakilisha nini japo😀😀😀? Kumbe wewe ni kilaza kuliko wenzako wote humu. Kaangalie movie ya Brian Deacon pale alipojaribiwa alitumika nani kumjaribu kuwakilisha shetani
Kaangalie movie utaelewa maana kwenye vitabu ni mweupe.

Back
Top Bottom