Allah ni Lucifer ndio alimpa Muhammad mafunuo na kikubwa ilikuwa kumpinga Yesu
Ndio maana unakuta aya za mapepo demons surah nzima ndani ya Koran , kumbuka demons ni wasaidizi wa shetan
😡😡😡😡😡 Wewe unachuki zako binafsi
Haya uyasemayo hayana ushahidi wowote, bali ni Jazba zako na chuki.
Allah ni Muuba wa kilakitu.
Malaika, Majini na Wanadamu ni viumbe tu.
Malaika wameumbwa kwa Nuru.
Adamu kumbwa kw Udongo
Majini wameumbwa kwa moto.
Wadudu ,wanyama,Samaki na mimea imetokana na Udongo pia.
Sasa habari za Lucifer (Shetani) aliye asi amri za Mungu tangu mwanzo zimeelezwa vema katika Qur-an na pia katika Biblia.
Lucifer (Shetani) ni Majini walioasi ,japo nynyi wakristo munasema ni malaika walioasi na wakageuzwa Majini, lakiniukweli uko pale pale kuwa ni shetani.
Hata wewe unaweza kuwa mmoja wa Mashetani ikiwa utamuasi Mungu na kumtii Lucifer.
Nakusihi ,jiongeze kitaaluma , wacha Jazba na Mihemko ya kiadui.
Mimi ni binadamu kama wewe , nina akili kama za kwako ,na maamdiko tumeyakuta na wajibuni kuso na kuyafahamu. na kuvumiliana kwa maamuzi ya Imani zetu ndiyo uungwana sio kutukanana.
Mimi nakuona wewe u mtu mwema na Unafanana sana na Muhammad ikiwa utakuwa mtulivu na mwenye kujiongeza.
Muhammad Hajawahipomtukana Yesu, bali kamsifu na kumtukuza , na ni yeye aliyesema kuwa Yesu ni ndugu yake. na akatuambia kuwa atarudi akiwa miongoni mwetu na akatutaka tunkubali akirudi na tumuamini.
Sasa shida iko wapi?
Au wewe si mfuasi wa yesu?