Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Unahoji kitoto sana, mpaka akabadilishwa ujue huyo hakuwa tena Isa bali alikuwa wa kufanana naye, hili kwa Allah ni dogo sana. Hakuwa Isa bali afananizwa, kwahiyo anajua Allah. Sababu Allah akitaka jambo liwe linakuwa tu.

Alitaka iwe hivyo, na huenda pia hakuumizwa pia.

Naam, hata ingekuwa zaidi ya miaka elfu hiyo pia siyo hoja sababu Allah anafanya jambo kwa hekima zake.
Walio ona Isa kasulubiwa na kuandika ni WA kweli na Allah ni muongo 😂😂😂😂😂😂
 
Walio ona Isa kasulubiwa na kuandika ni WA kweli na Allah ni muongo 😂😂😂😂😂😂
Nini Hekima yake Mtu kuuwawa kisha iwe ndio wewe ufutiwe dhambi zako za kuzini na kuiba na kulewa ?
Ivi Mungu alikosa namna nyingine yo bora kuliko njia hii?
 
Ndio ni viumbe ambavyo vimesha hukumiwa , na ndio vyenyewe vikaandika Koran 😂😂😂😂😂
Sas Mungu wenu mbona anaachia tuu watu wake waangamie wakati Yesu alisha kufa kwa ajili yao?
Hivi Mungu wenu hana Huruma?
 
Nini Hekima yake Mtu kuuwawa kisha iwe ndio wewe ufutiwe dhambi zako za kuzini na kuiba na kulewa ?
Ivi Mungu alikosa namna nyingine yo bora kuliko njia hii?
Ndio utuambie Kwa nini Allah atachukua dhambi zenu aweke owa wayahudi na wakristo, pia utuambie Kwa nini Allah anasema ukifunga siku moja tu anafuta dhambi zilizopita na zinazokuja Yani anakupa license to sin
 
Allah anasema ukifunga siku moja tu anafuta dhambi zilizopita na zinazokuja Yani anakupa license to sin
Huyo ndiye Mungu wa kweli mwenye nguvu na hekima
Huvanya apendavyo kwa watiifu. Hahitaji fidia ili kusamehe dhambi, bali anataka utiifu tu
na huyu ndiye MUNGU MWENYE REHEMA TELE Karibu Uisamu ni kwa wote huja chelewa
na kamautasilimu leo ,basi Madhambi yako yote ytageuzwa kuwa Thawabu ,utakuwa safi kama mtoto mchanga.
Ukienda Hija, umesafishwa,
Ukitowa zakka Umetakaswa.
Ukisla sala ya Alfajiri msikitini kisha usoma Aya tul Qursiyu, wewe tyari ni mtu wa peponi ,kizuizi chako ni uhai tu na kufa
Mwenye kufanya utiifu na akatubu huongezewa nguvu ya kujizuia na madhambi
 
Ndio utuambie Kwa nini Allah atachukua dhambi zenu aweke owa wayahudi na wakristo
Kuhusu hili sijui umetowa wapi, kenye Uislamu hakuna habari hiyo.
Kila mtu atahukumiwa kwa hambi zake.
 
Huyo ndiye Mungu wa kweli mwenye nguvu na hekima
Huvanya apendavyo kwa watiifu. Hahitaji fidia ili kusamehe dhambi, bali anataka utiifu tu
na huyu ndiye MUNGU MWENYE REHEMA TELE Karibu Uisamu ni kwa wote huja chelewa
na kamautasilimu leo ,basi Madhambi yako yote ytageuzwa kuwa Thawabu ,utakuwa safi kama mtoto mchanga.
Ukienda Hija, umesafishwa,
Ukitowa zakka Umetakaswa.
Ukisla sala ya Alfajiri msikitini kisha usoma Aya tul Qursiyu, wewe tyari ni mtu wa peponi ,kizuizi chako ni uhai tu na kufa
Mwenye kufanya utiifu na akatubu huongezewa nguvu ya kujizuia na madhambi
😂😂😂😂🤣 Siitaji mungu anaenipa leseni ya kufanya dhambi huyo ni Lucifer bila kificho kabisa , Allah anasema usipo fanya dhambi anakutoa uhai what a devil Allah his
 
Kwanini basi unabisha tunapokuambia Mungu anao uwezo wote na aliamua kuja kama mwana
Hizi nifalsafa na Mola amejiharamishia baadhi ya mambo, na habari za uzao wa Yesu zinajulikana na hakuna sehemu Yesu amesema yeye ni Mungu. Suala la uungu wa Yesu ni suala la kifalsafa, lakini hakuna andiko sahihi linalosema Yesu ni Mungu.

Kwahiyo usichanganye uhalisia na uposhaji.
 
Nyie wafuasi wa allah hilo suala la uungu wa Yesu Kristo tumeshawaandikia sana ila mmegoma kuelewa.

Najua ni vigumu sana kuelewa kwasababu nyie ni watu wa mwilini na mnaamini mkifa basi hadi ahera mtakuwa mnafanya ngono.
 
Madhambi yako yote ytageuzwa kuwa Thawabu
Haya ndio anayofanya Allah? Unaamini kwamba allah anayageuza madhambi yako lakini unaona ni kitu ambacho hakiwezekani kwa Yahweh kuwasamehe watu wake kwa kuzibeba dhambi zao alipokuja kama mwanadamu.
Ukienda Hija, umesafishwa,
Ukitowa zakka Umetakaswa.
Ukisla sala ya Alfajiri msikitini kisha usoma Aya tul Qursiyu, wewe tyari ni mtu wa peponi ,ki
Kwahiyo wasiokuwa na uwezo kwenda hijja hawajasafishwa? Kwanini allah aweke kigezo lakini asiwape uwezo waja wake ili wasafiri?
 
Kuhusu hili sijui umetowa wapi, kenye Uislamu hakuna habari hiyo.
Kila mtu atahukumiwa kwa hambi zake.
Kwa nini hamjui dini yenu nenda kasome Allah atachukua dhambi zenu atutwishe sisi
 
Kuhusu hili sijui umetowa wapi, kenye Uislamu hakuna habari hiyo.
Kila mtu atahukumiwa kwa hambi zake.
Nyie kupitia maando yenu ndio mnatujulisha , soma muhammad anasema kama sio dhambi za waisrael nyama zisinge oza na akasema kama sio dhambi za Eva wanawake wasinge toka nje ya ndoa

Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399

Muhammad mjinga Sana eti mpaka nyama kuoza ni dhambi za waisrael 😂
 
Kwa nini hamjui dini yenu nenda kasome Allah atachukua dhambi zenu atutwishe sisi
iko Wapi hiyo?
lete andiko,
wacha kuongea ndoto za alinacha.
Wewe Njoo tu kwenye Uislamu ,Hatunaga makubwa sisi.
Utaoa wake wanne,
Na Ukifa Utapewa Mabibi wapeponi 70,
Utachaaza bakora bila kuchoka,na utapewa nguvu za ziada za kiume ili ufaidi zaid na zaidi.
Utakula vyakula vya asili vyenye ladha.
Hakuna kuumwa wala kufa huko.
Wala hakuna Shida ya aina yeyote.
 
Back
Top Bottom