Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Ushauri:

Haya mambo ya kukashifiana dini ningeshauri yaishe tu kwa sababu zifuatazo;
1. Haiwezekani tena kuufuta Uislamu au Ukristo. Mamia ya miaka ya mashindano kati ya dini hizi mbili bila mafanikio ya upande wowote, ni ushahidi tosha. Tuchape kazi katika kuzitafutia familia zetu na wenye shida (sadaka) mahitaji muhimu......hiyo ni ibada nzuri, kwa upande wowote wa imani uliopo, na yenye maana kuliko kutafuta shari na migongano.

2. Ni ukweli kuwa kwa kizazi cha sasa akili za kuweza kuua Uislamu au Ukristo HATUNA! Sana sana tutaishia kutukanana n.k. Vyakula vya chips, mayai tvs n.k vimedororesha pakubwa uwezo wetu wa kufikiri. Kujaribu kutikisa hoja za Qur'an au Biblia kwa kizazi hiki ni kupoteza muda tu......tumeisha; tufuate tu kila mmoja wetu anakotaka kufuata tupite tuwapishe wengine!
Ni wachache sana wataelewa maana iliyobebwa na hii reply.
Kuna watu wanajiita wasomi humu lakini hawataki kupata maana ktk hii reply yako.
 
Tazama, mimi ni mwanadamu, nakosea kila siku,
lakini nahitaji njia ya kupunguza uzito wa mzigo wangu wa madhambi,Ndiyo maana Munguakaweka Offa za kila aina,
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Kwenda Huijja,
Kufunga siku ya Arafa,
Kufunga siku ya Juma tatu na Alhamis,
Kufunga kila mwezi siku tatu za katikti ya mwezi Mwandamo,
Kuchonja siku ya Eidi ya kuchinja.
na nyingine nyingi za kumfanya Binadamu aweze kufikia malengo.
Kubwa zaidi ukifanya Dhambi unalipwa moja kwa moja.
Ukifanya wema unalipwa moja kwa Kumi hadi mia saba, inategemea na usafi wa nia yako
Karibu katika Uislamu Kusilimu ni rahisi tuu.

Na huku Yesu anaheshimiwa na manabii wote wanaheshimiwa kama sharti la Imani
Hatuhesabiwi haki kwa matendo ya sheria bali kwa neema inayotokana na imani katika kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo.
 
Jibu swali, issa ni mungu
Qur'an imeweka wazi kabsa kuhusu upekee wa Allah. Yesu/Issa sio mungu.

Kutokana na coments zako huko juu ulitamka wazi kwamba Yesu/Issa n mungu.

Sasa naomba ujibu swali langu nlililo kuuliza
Mungu(Baba) kumsaidia mungu mmwenzie (Yesu/Issa) asidhalilike msalaban ni vibaya?
 
Weka andiko hapa ambapo Yesu anasema yeye ni Mungu.

Hizi ni falsafa za wasomi wenu lakini hakuna andiko sahihi linalosema Yesu ni Mungu.
Sitaki kwenda kwenye hiyo argument kwasababu tàyari kwenye mada hii tumeijadili huko nyuma.

Kama nilivyokwambia, usilete tafsiri za quran hapa. Nakupa mstari mmoja tu kama kionjo ili urudi page za nyuma uufahamu uungu wa Yesu Kristo.

Yohana 17:5 SUV​

Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
 
Nitajie watu wa tano tu walio ona kisha wakaandika hilo tukio.
Uongo wa Allah 😂 ulikuwa dhahiri ndio maana unaona Kuna watu wanaamini Isa kasulubiwa, au unataka kusema uongo wake ulijulikana 😂😂😂😂
 
Moja katika sifa za Mungu ni Uhai usio katika.
pili ni Nguvu zisizo shindwa.
Tatu ni Udhaifu na Kubadilika badilika Maumbo yake.
Afanye hivyo kwa haja gani?
Anamuogopa nani?
Au anshida gani na viumbe?
Hahitaji msaada kwa yeyote.
''Eloi eloi lama sabaka tani'' yatosha kuonesha udhaifu wa aliyetundikwa Msalabani
Uhai wa Mungu wetu, Jehovah, Yesu Kristo haujawahi kubadilika.

Mungu anao uwezo wote hivyo hashindwi kufanya hicho unachokipinga.
 
Mimi nauliza kwako Championship.
Andiko hi Mathayo 24:5
Yesu Alisema,angalieni,mtu asiwadanganye.Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu,wakisema,mimi ni kristo;nao watadanganya wengi.(mt.24:4)Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo,nao watatoa ishara kubwa na maajabu;wapate kuwapoteza,kama yamkini,hata walio wateule.

Unabii huu umeshatimia?
Vipi kuhusu hawa Manabii walioko siku hozi akina TB Joshua, Lusekelo na wengine wengi duniani
na wazamani akina Paulo ni sawa?

Marko 13:5Mark 13:5
Yesu akaanza kuwaambia, Jihadharini, mtu asiwadanganye.
Mtu muongo na mpotoshaji anayejiita mtume ni mmoja tu, muhammad s.a.w
 
Yesu alijua kuwa Hawa jamaa watadanganywa na watakubali Uongo huo.
Kusemu Yesu ni Mungu ni Uongo na ni Madanganyo.
Kusema Kafa kwa ajili ya dhambi ni Madanganyo.
Haya ni maoni yako binafsi.
 
Qur'an imeweka wazi kabsa kuhusu upekee wa Allah. Yesu/Issa sio mungu.

Kutokana na coments zako huko juu ulitamka wazi kwamba Yesu/Issa n mungu.

Sasa naomba ujibu swali langu nlililo kuuliza
Mungu(Baba) kumsaidia mungu mmwenzie (Yesu/Issa) asidhalilike msalaban ni vibaya?
Mungu kwa wakristo ni Roho na sio human flesh, embu jifunze Imani za watu 😂😂 Mimi najua wazi Allah ni physical being siwezi kuleta maswali ya roho kuhusu allah
 
Qur'an imeweka wazi kabsa kuhusu upekee wa Allah. Yesu/Issa sio mungu.

Kutokana na coments zako huko juu ulitamka wazi kwamba Yesu/Issa n mungu.

Sasa naomba ujibu swali langu nlililo kuuliza
Mungu(Baba) kumsaidia mungu mmwenzie (Yesu/Issa) asidhalilike msalaban ni vibaya?
Yesu Kristo wa Nazareth sio huyo issa wa kwenye quran. Huyo issa mnatakiwa mumtetee bila kutaja biblia kwasababu huyo hayupo kwenye biblia.
 
Kwa uelewa wako alichokifanya Allah kumuepusha Yesu/Issa na kudhalilika ilkua sawa au si sawa?
Kwa upande wangu naona lilikua jambo jema mungu kumsaidia mungu mwenzie asidhalilike msalabani.
Alivyo fanya uongo akatengeza watu walio amini uongo wake 😂😂😂😂 allah mjinga San na akaka miaka 600 ndio akaja kusema alidanganya what a stupid god
 
Yesu Kristo wa Nazareth sio huyo issa wa kwenye quran. Huyo issa mnatakiwa mumtetee bila kutaja biblia kwasababu huyo hayupo kwenye biblia.
Hivi kinacho wafanya muamini Yesu ni mung ni kipi?

1. Sababu ya miujiza ya kuzaliwa kwake(Hakua na baba)?

2. Sababu Mungu ametamka kwamba n mwanae(Mwana wa Mungu)?

3. Sababu ya miujiza aliokua akiitenda kwa uwezo Wa mungu?
 
Yesu Kristo ni Mungu, pata kionjo kidogo hapa akijieleza:

Yohana 17:5 SUV​

Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
 
Yesu Kristo ni Mungu, pata kionjo kidogo hapa akijieleza:

Yohana 17:5 SUV​

Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
Ko huu mstar ndo unasema Yesu n mungu?
 
Ko huu mstar ndo unasema Yesu n mungu?
Nimekuambia ni kionjo. Rudi page za nyuma tumewahi kujadili hili jambo. Na ofcourse yes, mstari unaonesha kwamba Yesu Kristo ni Mungu aliyehai.
 
Nimekuambia ni kionjo. Rudi page za nyuma tumewahi kujadili hili jambo. Na ofcourse yes, mstari unaonesha kwamba Yesu Kristo ni Mungu aliyehai.
Haha sawa

Naamini sasa mnamacho ila hamuoni,mnamasikio ila hamsikii mioyo yenu inadoa jeusi

Allah katika uumbaji wake amedhihirisha ukuu wake ila watu mmekua vipofu na viziwi
Leo ngoja nkuongezee maarifa kiasi

Allah amemuumba binadamu kwa namna nne

1. Allah kamuumba binadamu kutokana na udongo(hapa binadamua hakua na baba wala mama): Adam

2. Allah kamuumba binadamu kutoka kwa baba pekee.; Hawa/Eve

3. Allah kamuumba binadamu kutokana na baba na mama(akina sisi).

4. Allah kamuumba binadamu kutoka kwa mama pekee; Yesu/Issa.

Ukiwa smart utakaa chini ujitafakari njia unayoipita kama n sahihi au la.
 
Yesu Kristo alisema kwamba yeye ni nuru ya ulimwengu. Bila Yesu unakuwa gizani na kuleta argument unazodhani ziko sahihi lakini kumbe huoni ukweli. Njoo kwa Yesu njoo, uwe kiumbe kipya. Ya kale yanapita tazama yatakuwa mapya. Yesu ndiye pekee mwenye msamaha wa dhambi na uzima wa milele.
 
Tangu nmeanza kukuuliza maswali yangu hakuna hata moja ulojibu unazurura tu na kuleta hivo vionjo vyako
 
Back
Top Bottom