Walio ona Isa kasulubiwa na kuandika ni WA kweli na Allah ni muongo ππππππUnahoji kitoto sana, mpaka akabadilishwa ujue huyo hakuwa tena Isa bali alikuwa wa kufanana naye, hili kwa Allah ni dogo sana. Hakuwa Isa bali afananizwa, kwahiyo anajua Allah. Sababu Allah akitaka jambo liwe linakuwa tu.
Alitaka iwe hivyo, na huenda pia hakuumizwa pia.
Naam, hata ingekuwa zaidi ya miaka elfu hiyo pia siyo hoja sababu Allah anafanya jambo kwa hekima zake.
Ndio ni viumbe ambavyo vimesha hukumiwa , na ndio vyenyewe vikaandika Koran πππππLakini Yesu si ndio kaumba hayo mapepo?
Nini Hekima yake Mtu kuuwawa kisha iwe ndio wewe ufutiwe dhambi zako za kuzini na kuiba na kulewa ?Walio ona Isa kasulubiwa na kuandika ni WA kweli na Allah ni muongo ππππππ
Sas Mungu wenu mbona anaachia tuu watu wake waangamie wakati Yesu alisha kufa kwa ajili yao?Ndio ni viumbe ambavyo vimesha hukumiwa , na ndio vyenyewe vikaandika Koran πππππ
Nani kahukumu?Ndio ni viumbe ambavyo vimesha hukumiwa , na ndio vyenyewe vikaandika Koran πππππ
Ndio utuambie Kwa nini Allah atachukua dhambi zenu aweke owa wayahudi na wakristo, pia utuambie Kwa nini Allah anasema ukifunga siku moja tu anafuta dhambi zilizopita na zinazokuja Yani anakupa license to sinNini Hekima yake Mtu kuuwawa kisha iwe ndio wewe ufutiwe dhambi zako za kuzini na kuiba na kulewa ?
Ivi Mungu alikosa namna nyingine yo bora kuliko njia hii?
Huyo ndiye Mungu wa kweli mwenye nguvu na hekimaAllah anasema ukifunga siku moja tu anafuta dhambi zilizopita na zinazokuja Yani anakupa license to sin
Kuhusu hili sijui umetowa wapi, kenye Uislamu hakuna habari hiyo.Ndio utuambie Kwa nini Allah atachukua dhambi zenu aweke owa wayahudi na wakristo
πππππ€£ Siitaji mungu anaenipa leseni ya kufanya dhambi huyo ni Lucifer bila kificho kabisa , Allah anasema usipo fanya dhambi anakutoa uhai what a devil Allah hisHuyo ndiye Mungu wa kweli mwenye nguvu na hekima
Huvanya apendavyo kwa watiifu. Hahitaji fidia ili kusamehe dhambi, bali anataka utiifu tu
na huyu ndiye MUNGU MWENYE REHEMA TELE Karibu Uisamu ni kwa wote huja chelewa
na kamautasilimu leo ,basi Madhambi yako yote ytageuzwa kuwa Thawabu ,utakuwa safi kama mtoto mchanga.
Ukienda Hija, umesafishwa,
Ukitowa zakka Umetakaswa.
Ukisla sala ya Alfajiri msikitini kisha usoma Aya tul Qursiyu, wewe tyari ni mtu wa peponi ,kizuizi chako ni uhai tu na kufa
Mwenye kufanya utiifu na akatubu huongezewa nguvu ya kujizuia na madhambi
Kazi yangu kwako nimemaliza.Ni nywema ukaeleza kwa nini Allah alidanganya, waislamu wote hawajibu kwa nini allah alidanganya
Hizi nifalsafa na Mola amejiharamishia baadhi ya mambo, na habari za uzao wa Yesu zinajulikana na hakuna sehemu Yesu amesema yeye ni Mungu. Suala la uungu wa Yesu ni suala la kifalsafa, lakini hakuna andiko sahihi linalosema Yesu ni Mungu.Kwanini basi unabisha tunapokuambia Mungu anao uwezo wote na aliamua kuja kama mwana
Sababu za Allah kudanfanya ni zipi , kumbuka kakaa miaka 600 ndo akaja kusema alidanganya huyuni devil kabisaKazi yangu kwako nimemaliza.
Poa.Walio ona Isa kasulubiwa na kuandika ni WA kweli na Allah ni muongo ππππππ
Poa.Sababu za Allah kudanfanya ni zipi , kumbuka kakaa miaka 600 ndo akaja kusema alidanganya huyuni devil kabisa
Nyie wafuasi wa allah hilo suala la uungu wa Yesu Kristo tumeshawaandikia sana ila mmegoma kuelewa.Hizi nifalsafa na Mola amejiharamishia baadhi ya mambo, na habari za uzao wa Yesu zinajulikana na hakuna sehemu Yesu amesema yeye ni Mungu. Suala la uungu wa Yesu ni suala la kifalsafa, lakini hakuna andiko sahihi linalosema Yesu ni Mungu.
Kwahiyo usichanganye uhalisia na uposhaji.
Haya ndio anayofanya Allah? Unaamini kwamba allah anayageuza madhambi yako lakini unaona ni kitu ambacho hakiwezekani kwa Yahweh kuwasamehe watu wake kwa kuzibeba dhambi zao alipokuja kama mwanadamu.Madhambi yako yote ytageuzwa kuwa Thawabu
Kwahiyo wasiokuwa na uwezo kwenda hijja hawajasafishwa? Kwanini allah aweke kigezo lakini asiwape uwezo waja wake ili wasafiri?Ukienda Hija, umesafishwa,
Ukitowa zakka Umetakaswa.
Ukisla sala ya Alfajiri msikitini kisha usoma Aya tul Qursiyu, wewe tyari ni mtu wa peponi ,ki
Allah kadanganya kwa Kuweka Isa bandia na watu waliona , inamaana walioona na kuandika walicho ona ni wakweli kabisaPoa.
Kwa nini hamjui dini yenu nenda kasome Allah atachukua dhambi zenu atutwishe sisiKuhusu hili sijui umetowa wapi, kenye Uislamu hakuna habari hiyo.
Kila mtu atahukumiwa kwa hambi zake.
Nyie kupitia maando yenu ndio mnatujulisha , soma muhammad anasema kama sio dhambi za waisrael nyama zisinge oza na akasema kama sio dhambi za Eva wanawake wasinge toka nje ya ndoaKuhusu hili sijui umetowa wapi, kenye Uislamu hakuna habari hiyo.
Kila mtu atahukumiwa kwa hambi zake.
iko Wapi hiyo?Kwa nini hamjui dini yenu nenda kasome Allah atachukua dhambi zenu atutwishe sisi