ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kwenye uislamu kuna kitu kinaitwa sadaka yenye kuendelea kama kuchangia msikiti, kufundisha mtu elimu n.k, hata ukifa wema wako haufi, ndio maana kwa wema ule wa mtume kutupa elimu , tutaendelea kumuombea hata kama kafa, huko kwenu kama mtu hakifa hana maana mtajua wenyeweMkuu hii mada imeuliza bila chuki yoyote, ni katika kutafuta maarifa.