Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
Hizo kananuni zake ni zipi?Mungu ana kanuni na utaratibu wake na kimsingi ulimwengu wa roho una utaratibu .
labda kama ungehitaji uelezw kwanini Yesu alitolewa sadaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kananuni zake ni zipi?Mungu ana kanuni na utaratibu wake na kimsingi ulimwengu wa roho una utaratibu .
labda kama ungehitaji uelezw kwanini Yesu alitolewa sadaka
Kwahiyo unataka kusemaje kuhusu kufa kwake?Kama unakubaliana na hilo kumbe Mungu anaweza kuwepo mbinguni na duniani kwa wakati mmoja ?
Hakuna tena original,hao waliopewa kitabu waliokuwa na Elimu ya dini ndiyo waliopotosha maandishi kwa maslai yao mpaka kufikia kusema Yesu ni MunguTuleteeni biblia orijino ambayo haikuchezewa.
Hapana itakuwa Roman catholic, Orthodox church, sabato, mashahidi wa Yehova n.kUislamu upi huo Shia ,au ahamadiya? Au sunni
Huo labda unaujua mwenyewe,sisi tunaamini Mungu mmoja pamoja na Mitume na vitabu alivyowapa,inamana kila walichokifanya mitume walikifanya kwa amri ya Mungu akiwemo Yesu au Issa na kitabu alichopewa cha EnjiliUislamu upi huo Shia ,au ahamadiya? Au sunni
Naweza kukukatalia,lakini ninachoamini Mungu ana Maraika wake ambao humraisishia kazi zake au huwasiliana naye,mfano tumewekea malaika wawili kulia na kushoto ambao kazi yao ni kutuandikia mema yetu na mabaya yetuKwa uelewa wako Mungu anaweza kuwa zaidi ya sehemu moja kwa wakati mmoja ?
Unajua adhabu yake,kwanza ukifa wewe mfirija wa wanaume wenzako au mfirwaji maiti yako inahamishwa kimiujiza unapelekwa kwenye makaburi ya wenzako Sodoma na Gomola,ili mje mfufuliwe pamojaKwa hyo dini inayo support homosexuality ndio ya haki bora hata wapagani kuliko hawa wanaojiona washaenda peponi.
Naweza kukukatalia,lakini ninachoamini Mungu ana Maraika wake ambao humraisishia kazi zake au huwasiliana naye,mfano tumewekea malaika wawili kulia na kushoto ambao kazi yao ni kutuandikia mema yetu na mabaya yetu
Tunakubaliana kwanza kwenye hili kabla hatujaja la kufa .Kwahiyo unataka kusemaje kuhusu kufa kwake?
Yesu na Isa Ni watu wawili tofautiHuo labda unaujua mwenyewe,sisi tunaamini Mungu mmoja pamoja na Mitume na vitabu alivyowapa,inamana kila walichokifanya mitume walikifanya kwa amri ya Mungu akiwemo Yesu au Issa na kitabu alichopewa cha Enjili
Jibu swali Mzee baba ,kwenye Ukristo tunajua Kuna MADHEHEBU,Hapana itakuwa Roman catholic, Orthodox church, sabato, mashahidi wa Yehova n.k
Kila dhehebu si lina watu?, fata lolote lile wote ni waislamu hao , madhehebu yasikuchanganye, muhimu wamekiri shahada basi ni waislamuJibu swali Mzee baba ,kwenye Ukristo tunajua Kuna MADHEHEBU,
Wewe tuambie tuufate uislamu upi ,SHIA AU SUNNI? AU MABOHORA AU WASUFI?
Hii kawaida mbona hata wasabato wanawaita Roman catholic kuwa ni mawakala wa shetani , wala haifanyi Roman catholic kuacha Ukristo wao, lete hoja za maana, muhimu ni kukiri shahada basi hayo mengine mbwembwe, unayo hoja?Yesu na Isa Ni watu wawili tofauti
Halafu Uislamu gani unauzungumzia ,ninapokaa huku Kuna misikiti hawa washia, hawa wasuni
Naomba nijue Unauzungumzia Uislamu wa Dhehebu gani
Huwez kusema Eti Uislamu,, lazima ufunguke Ni upi SHIA AU SUNNI, AU WASUFI, AU MABOHORA ,AU AHAMADIYA?
Mungu akashindwa kulinda maandiko yake mwenyewe.Hakuna tena original,hao waliopewa kitabu waliokuwa na Elimu ya dini ndiyo waliopotosha maandishi kwa maslai yao mpaka kufikia kusema Yesu ni Mungu
Yakobo alikuwa na haki kwasababu Esau aliapa kwa kiapo kumpatia haki ya mzaliwa wa kwanza.Yaani wewe umtangaze Mungu kufanywa ndafu msalabani halafu unashangaa mambo ya kawaida , hivi nyie mko sawa sawa kweli, umesahau hata Yakobo alibarikiwa na Mungu pamoja kuwa alitumia uongo kupata baraka kutoka kwa baba yake Isiaka
Kwahiyo waislamu wanasapoti ushoga kwasababu yule sheikh kule arusha amewanajisi watoto 22?Kwa hyo dini inayo support homosexuality ndio ya haki bora hata wapagani kuliko hawa wanaojiona washaenda peponi.
1.Kama alikuwa na haki kwanini amdanganye baba yake ?Yakobo alikuwa na haki kwasababu Esau aliapa kwa kiapo kumpatia haki ya mzaliwa wa kwanza.
Alitakiwa kumwambia baba yake kuhusu yale makubaliano. Mungu aliheshimu makubaliano na alimuadhibu Yakobo kwa udanganyifu aliofanya. Aliteseka miaka 20 kule syria.
Umeongea pumba gani..yani watu wasihoji dini fulani kisa haiwezekani kufutwa..ni wakati wa kuweka mambo hadharani acha dini zohojiwe tujue ipi ni ya kweli ipi niya uongo.Ushauri:
Haya mambo ya kukashifiana dini ningeshauri yaishe tu kwa sababu zifuatazo;
1. Haiwezekani tena kuufuta Uislamu au Ukristo. Mamia ya miaka ya mashindano kati ya dini hizi mbili bila mafanikio ya upande wowote, ni ushahidi tosha. Tuchape kazi katika kuzitafutia familia zetu na wenye shida (sadaka) mahitaji muhimu......hiyo ni ibada nzuri, kwa upande wowote wa imani uliopo, na yenye maana kuliko kutafuta shari na migongano.
2. Ni ukweli kuwa kwa kizazi cha sasa akili za kuweza kuua Uislamu au Ukristo HATUNA! Sana sana tutaishia kutukanana n.k. Vyakula vya chips, mayai tvs n.k vimedororesha pakubwa uwezo wetu wa kufikiri. Kujaribu kutikisa hoja za Qur'an au Biblia kwa kizazi hiki ni kupoteza muda tu......tumeisha; tufuate tu kila mmoja wetu anakotaka kufuata tupite tuwapishe wengine!
Hujajibu hoja naona unazungukazunguka tu.Ukiwa huna uhakika na unachoandika ni BORA KUTOANZISHA UZI....
kwenye Uislam ukisikia anatajwa Mola Mlezi utasikia kwa mfano Allah Subhanah Wataala, akitajwa Mtume utasikia Rehema na Amani ziwe juu yake, wakitajwa mitume wote waliobakia aliwemo mtume wa Allah Issah utakisikia Alayh Salam, wakitajwa maswahaba utasikia Radhiallah Anhu, Waja wema waliotangulia Rahmahullah au waliopo HAI utasikia hafidhallah
Kwa hiyo siyo kweli UNACHOKISEMA KUWA KWENYE UISLAM MTUME ANAOMBEWA MSAMAHA.....
MOLA MLEZI ameweka utaratibu wa kumtukuza YEYE kila anapotajwa au unapotaja jina la Mola Mlezi, kuwatakia salama na amani Waja wema waliotangulia kwa maana waliishi na kumridhisha YEYE na YEYE amewaridhia na wanaombewa mpaka na malaika...
KINYUME CHAKE kwa kila aliyeishi kwa UJABARI NA KUMUASI MOLA MLEZI KAMA FIRAUNI na wote wanaomfuatia basi utasikia yakitamkwa MKASIRIKO YA MOLA MLEZI NA KUWEKWA MBALI NA REHEMA ZAKE baada ya majina yao!!!!
Kwa aliye hai ataombewa UONGOFU ila akifa mwanadamu kati uasi basi hadi Malaika watamwombea Makasiriko ya Mola Mlezi....
HUJAWAHI ONA MTU ANAFARIKI NA WATU WANAFURAHI KUWA WATAPUMZIKA KUTOKANA NA MAUDHI AU DHULMA ZAKE???? Au MWINGINE ANAFARIKI KILA YUALIA KUTOKANA NA WEMA WAKE KWA WATU???
Basi jua vivyo hivyo kwa wanadamu na Mailaka kumwombea aliyefariki au hata aliye HAI...