Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Ndugu Mokiti

Naona unaruka ruka ,mara umeshika mada hii mara ile,
Kwanini Humuamini yesu na mafundisho yake?
 
Wewe ukiuliza wapi Yesu kasema Mimi Mungu , nimekupa aya Allah anamtambulisha Yesu

Msome point ya kwanza hii
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Twende kwa hatu
hii siyo mada yangu,
atakufafanulia Kijana MEDISONMUTTA. yeye namuamini, akishindwa nitakusaidia.
Nakuliza tena kwa ninihuamini Mafundisho ya yesu?
 
Twende kwa hatu
hii siyo mada yangu,
atkufafanulia Kijana MEDISONMUTTA. yeye namuamini, akishindwa nitakusaidia.

Aya hapa Muhamma kaya copy

Hadith Muhammad anasema siku ya mwisho Mungu atawaoji kwa kuwauliza Nilikuwa mgonjwa, nilikuwa na njaa, nilikuwa na kiu n:k

On the authority of Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him), who said that the Messenger of Allah (ﷺ) said:God will say on the Day of Resurrection: O son of Adam, I fell ill and you visited Me not. He will say: O Lord, and how should I visit You when You are the Lord of the worlds? He will say: Did you not know that My servant So-and-so had fallen ill and you visited him not? Did you not know that had you visited him you would have found Me with him? O son of Adam, I asked you for food and you fed Me not. He will say: O Lord, and how should I feed You when You are the Lord of the worlds? He will say: Did you not know that My servant So-and-so asked you for food and you fed him not?...... It was related by Muslim. Hadith 18, 40 Hadith Qudsi

Yesu ndie atakae wahoji watu

John5: 31“Wakati Mwana wa Mtu atakapokuja katika utukufu wake na malaika wote wakiwa pamoja naye, hapo ataketi juu ya kiti chake cha enzi kitukufu.42Maana nilikuwa na njaa nanyi hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa maji. 43Nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha; nilikuwa mgonjwa na mfungwa nanyi hamkuja kunitazama.’ 44“Hapo nao watajibu, ‘Bwana, ni lini tulikuona ukiwa na njaa au kiu, ukiwa mgeni au bila nguo, ukiwa mgonjwa au mfungwa, nasi hatukukuhudumia?’ 45Naye atawajibu, ‘Nawaambieni kweli, kila mlipokataa kumtendea mambo haya mmojawapo wa hawa wadogo, mlikataa kunitendea mimi.’
 
Twende kwa hatu
hii siyo mada yangu,
atkufafanulia Kijana MEDISONMUTTA. yeye namuamini, akishindwa nitakusaidia.
Nakuliza tena kwa ninihuamini Mafundisho ya yesu?
Mungu wetu aliamua kuja mwenyewe kutuonyesha binadamu anaweza kuishi maisha matakatifu na tukaona hakufanya dhambi kwa Hali yake ya kuwa na human flesh

Ukienda kwa Allah unakuta anakwambia usipo fanya dhambi anakutoa uhai 😂😂😂😂
 
Huo mwili uliolaaniwa ulikuwa wa shetani hadi useme unayemuabudu hana mwili😀? Wote wamelaaniwa. Hakuna asiye na roho hapa

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.
 
Allah hana Roho , kuwa makini kijana waislamu wakikusikia unasema Allah ana Roho watakuchinja
 
Ulete jibu hapa Kristo ni roho na ule mwili ilikuwa sanamu sio wake.

Huo mwili uliolaaniwa ulikuwa wa shetani hadi useme unayemuabudu hana mwili😀? Wote wamelaaniwa. Hakuna asiye na roho hapa

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.
 
Twende kwa hatu
hii siyo mada yangu,
atakufafanulia Kijana MEDISONMUTTA. yeye namuamini, akishindwa nitakusaidia.
Nakuliza tena kwa ninihuamini Mafundisho ya yesu?
Huyu hapa Allah anasema usipo fanya dhambi anakuua , kama sio Lucifer huyu ni nani?

Sahih Muslim 2749
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
 
Allah hana Roho , kuwa makini kijana waislamu wakikusikia unasema Allah ana Roho watakuchinja
Mwenyezi Mungu hana roho. Vilivyoumbwa ndivyo vina roho. Tunaita viumbe.
Huo mwili uliolaaniwa ulikuwa wa shetani hadi useme unayemuabudu hana mwili😀? Wote wamelaaniwa. Hakuna asiye na roho hapa

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.
 
Jibu hii point kijana usiruke kama monkey 🐵🐒

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Muhammad NDio muongo mkubwa analeta habari Musa yupo uchi anakimbizwa na jiwe 😂😂😂😂
Mara Musa kampiga Malaika kampukutisha taya
Uwe una jibu maswali kwanza kisha unauliza au kujenga hoja mpya.
 
Mwenyezi Mungu hana roho. Vilivyoumbwa ndivyo vina roho.
Kuanzia leo ujue Allah na Jehovah ni tofauti,
Allah physical being creature
Jehovah spiritual being

Ndio maana mnaona shida kujua Yesu alikuwa ndani ya mwili maana nature ya mungu wenu ni physically

Yn 4:24 SUV
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Jibu hii point kijana usiruke kama monkey 🐵🐒

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Huo mwili uliolaaniwa ulikuwa wa shetani hadi useme unayemuabudu hana mwili😀? Wote wamelaaniwa. Hakuna asiye na roho hapa. Umeanzisha pumba hilo nitakujibu.

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.
 
Jibu hili kwanza
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Huo mwili uliolaaniwa ulikuwa wa shetani hadi useme unayemuabudu hana mwili😀? Wote wamelaaniwa.
Huyo aliyetundikwa msalabani ule ni mwili au sanamu? Umeanzisha pumba naona

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.
 
Hivi like swala la kupewa mabikira 72 huwa ni kweli au ni uzushi kama uzushi mwingine?
 
Alie mpaka muhammad habari za Musa ni nani, nani alikuwa Shahid
Hili ufafanuzi wake unakuja na jepesi sana.

Utaweka hilo andiko umelipata wapi kisha uchambuzi nitakupa.

Turudi katika nukta ya msingi, ya maswali yangu mawili :

1. Nitajie watu watano tu walio shuhudia Yesu akisulubiwa kama mnavyo amini.

2. Yohana mnasema ni Mtume, nani alimpa utume na habari za Yesu Yohana alizipata kwa nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…