Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Huyu anachofurahisha anasema Kristo amelaaniwa katika mwili na sio katika roho😀. Najiuliza katika binadamu sijui anatimia bila kuwa na roho
Yn 4:24 SUV
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Nature ya Mungu wa wakristo ni spirit , Nature ya Allah ni physical being, Mungu alipo sema amaetupuliza alitupuliza nature yake ambayo ndio nguvu ya uhai tulio nao tena ka nukta tu
Kuna binadamu anatimia bila kuwa na roho? Ukiambiwa wewe umelaaniwa unaelewaje? Au shetani amelaaniwa? Au Kristo kalaaniwa nusu😀? Kristo ni kiumbe ili kifanye kazi lazima kiwe na roho
 
Huyu anachofurahisha anasema Kristo amelaaniwa katika mwili na sio katika roho😀. Najiuliza katika binadamu sijui anatimia bila kuwa na roho
Wewe unaamini Allah ni muongo 😂😂😂😂 , Yani Allah ameamua kujiita muongo ili tu ampinge Yesu
Tunapo waambia Allah = Lucifer muwe mnaelewa

Soma
Yohana 8:44
Neno: Bibilia Takatifu
44 Ninyi ni watoto wa baba yenu shetani; kwa hiyo mnapenda kufanya maovu kama yeye. Tangu mwanzo yeye alikuwa muuaji na hana uhusiano wo wote na mambo ya kweli; kwa maana hana asili ya kusema lililo kweli. Shetani anapodanga nya anadhihirisha asili yake kwa kuwa yeye ni mwongo na ni baba wa uongo.
 
Kuna binadamu anatimia bila kuwa na roho? Ukiambiwa wewe umelaaniwa unaelewaje? Au shetani amelaaniwa? Au Kristo kalaaniwa nusu😀? Kristo ni kiumbe ili kifanye kazi lazima kiwe na roho
Yn 4:24 SUV
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Kila binadamu ana roho usitake kuchekesha kijana. Binadamu vile vile ni roho.
Kwani tukichopuliziwa na Mungu ni nini?
Yn 4:24 SUV
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Kusema Mungu ni Yesu mlitoa wapi?
Allah ndio alikuja Kuweka wazi
Msome Allah na Yesu Allah anasema Kuna Mungu na Yesu anajitaja mwenyewe

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...
John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
 
Kwani tukichopuliziwa na Mungu ni nini?
Yn 4:24 SUV
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

Kwa hiyo na mimi mwili wangu una Mungu kutokana nina roho? Nyie jamaa mnakufuru vibaya​

Mathayo 22:37-39​

Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Hii ndiyo amri kuu na ya kwanza. Ya pili inafanana na hiyo: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe’.
 
Ulipewa Nature ya Mungu tena ki nukta
Soma
Yn 4:24 SUV
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Allah ndio alikuja Kuweka wazi
Msome Allah na Yesu Allah anasema Kuna Mungu na Yesu anajitaja mwenyewe

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...
John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
Kwa hiyo mimi mwili wangu una Mungu kutokana nina roho? Kwa nini mnapenda kukufuru?

Mathayo 22:37-39 BHN​

Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Hii ndiyo amri kuu na ya kwanza. Ya pili inafanana na hiyo: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe’.
 
Kwa hiyo mimi mwili wangu una Mungu kutokana nina roho? Kwa nini mnapenda kukufuru?

Mathayo 22:37-39 BHN​

Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Hii ndiyo amri kuu na ya kwanza. Ya pili inafanana na hiyo: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe’.
Unakimbia maelezo ya Allah anaongea kwa kutetemeka akitaja sifa za Mungu

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...
John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
 
Unakimbia maelezo ya Allah anaongea kwa kutetemeka akitaja sifa za Mungu

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...
John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
Kristo amelaaniwa. Mungu tangu lini akalaaniwa? Ameshindwa kujiokoa kwa warumi kwa mujibu wa maandiko yako. Aweze kuja kunihukumu mimi?
 
Unakimbia kimbia
Soma

Mwa 1:1-2 SUV​

Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
 
Kristo amelaaniwa. Mungu tangu lini akalaaniwa? Ameshindwa kujiokoa kwa warumi kwa mujibu wa maandiko yako. Aweze kuja kunihukumu mimi?
Twende point moja moja
Soma
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Soma
Yn 4:24 SUV
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Kila binadamu atimie lazima awe na roho. Hata shetani anayo roho. Ukisikia shetani kalaaniwa maana yake yeye mzima kama unavyosikia kristo kwenye wagalatia 3:13.
Alivyopigwa mijeledi akawa analia inaonesha kuna liroho alikuwa analiomba kwa imani yako😀.
 
Allah hana Roho , yeye ni creature yenye mguu mmoja mikono miwili upande mmoja 😂😂😂
Allah anasema yeye Yesu ni mwanzo na mwisho , Yesu anasema Mimi ni mwanzo na mwisho

Back
Top Bottom