Mwanzo:21:20 Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde
Habari za Ishmali hazikuenelezwa katika Biblia, kwa sababu kitabu hiki kimekusanya Matokeo na mafunzoya Uzao wa Isanka.
Qur-animefafanua pale ilipomalizia Taurati kuhusu Ishmael.
Kwa kifu Ismaeli ulikuwa ni Mpango wa Mungu wa Baadae na kwa mataifa yote ya Ulimwengu ,kama alivyomteua Isaka kwa wana wa Israeli tuu.
Nadhani wewe unachukuliakuwa Mungu hakumpenda Ismael, hapana alimpenda ,lakini Plan yake ilikuwa bado kwanza.