Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Sasa nimekimbia swali vipi na umeuliza nabii gani ametokea katika uzao wa Isamili nimekutajia Muhammad, sasa swali limekimbiwa kivipi ?

Unaweza kuthibitisha ya kuwa Mtume ametokea from no where, kwanza unawezaje kutokea from no where ?

Kingine nakupa faida tu, nabii Ibrahiim aliomba kwa Mola wake manabii watokee katika kizazi chake na ikawa hivyo.
Nitajie manabii waliotokea kwa Ishmael ukimuacha huyo mnamuita mtume muhammad maana huyu kaja alone na dini yake ya uislamu.
 
Swali zuri hata sisi pia sote tulikuwepo, kwahiyo hii si hoja.

Kingine haya masimulizi ameyasimulia nani kutoka kwa nani ?
Yohana Mtume ndio mwandishi wa injili ya Yohana.
 
Nitajie manabii waliotokea kwa Ishmael ukimuacha huyo mnamuita mtume muhammad maana huyu kaja alone na dini yake ya uislamu.

Mwanzo 17:20Genesis 17:20
Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.

Mwanzo 17:26Genesis 17:26
Siku ile ile akatahiriwa Ibrahimu na Ishmaeli mwanawe.

kwa hiyo ujuwe kuwa Huyu Ishmaili alikuwa Nabii na alihamia Makka (katika Bonde la Parani) na iliishi pale na mama yake na akawa nabii wa mji ule na alikuwa ndiye Babu wa waarabu wote wa kikureish. Alifundisha kuwataka watu wamuabudu Mungu wa Ibrahimu, naye alitimiza Agano lile la Milele la watu wa Mungu la kutahiriwa.

Nikuulize je ewe umetahiriwa ?

Mwa 21:21 SUV​

Akakaa katika jangwa la Parani; mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri.
 
Baraka imemfanya Ishmael akawa taifa kubwa enzi hizo, hilo halina ubishi. Dunia ya leo tuna assume kwamba waarabu wa saudi na palestina ni descendants wake. Ni mataifa ya kawaida sana ukifananisha na Israel katika nyanja zote.

Ni sehemu gani Ishmael alikuwa nabii? Nioneshe hilo andiko. Halafu si umeona hapo Abraham alitengana naye kwasababu hakuwa mrithi?
 
Kuna swali nimekuuliza nitajie watu watano tu walio ona Yesu akisulubiwa. Hujajibu hili swali.
Unataka kusema Alie danganya Allah hakuna Alie ona uongo wake 😂😂 sasa kama alifanya uongo na hakuna Alie ona uongo ni WA nini
 
Ukweli utaujua siku utakapokufa,na hutapewa mda wa kuwaambia wenzako sababu mda wako wa kuishi duniani utakuwa umekwisha,Siku utakapoulizwa kaburini Mungu wako nani?Dini yako dini
Kumbuka hiyo issue ya kaburini muhammad kaiga fairy tale stories za wayahudi 😂😂😂😂😂
 
Unataka kusema Alie danganya Allah hakuna Alie ona uongo wake 😂😂 sasa kama alifanya uongo na hakuna Alie ona uongo ni WA nini
Jibu swali nililo kuuliza wewe si ulisema kuja wayu walishuhudia Yesu akisulubiwa ?

Kingine uongo gani ulifanywa hapo ? Kwahiyo Mola kumuokoa mja wake ni uongo ? Kijana una matatizo ya akili.
 
kwasababu hakuwa mrithi?
Mwanzo:21:20 Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde
Habari za Ishmali hazikuenelezwa katika Biblia, kwa sababu kitabu hiki kimekusanya Matokeo na mafunzoya Uzao wa Isanka.
Qur-animefafanua pale ilipomalizia Taurati kuhusu Ishmael.
Kwa kifu Ismaeli ulikuwa ni Mpango wa Mungu wa Baadae na kwa mataifa yote ya Ulimwengu ,kama alivyomteua Isaka kwa wana wa Israeli tuu.
Nadhani wewe unachukuliakuwa Mungu hakumpenda Ismael, hapana alimpenda ,lakini Plan yake ilikuwa bado kwanza.
 
-Nyumba ile ya Mecca ilijengwa na Ishmael na Ibrahim kwa ajili ya Kumuabudu Mungu pale.
-kisima kile kilicho toa maji ya ishmael siku ile alipokuwa akilia kilichimbwa na Malaika wa Mungu , kipi hadi leo,kinatowa Maji yale yale ya ZAM ZAM.
- Hadi leo Nyumba ile ipo na Ibada za kumuabudu Mungu wa Ibrahim zinaendelea pale.
-Vilima viwili alivyokuwa akivipanda Hajar kutafuta maji ya mtoto wake Ishmael vipo hadi leo na imekuwa alama kuu ya tukio lile la mwnamke yule Masikini kwa mtazamo wako, lakini mwenye imani na aliyependwa na mungu.
Karibu katika Dini yenye kumbu kumbu za matukio ya manabii wa zamani, Akiwemo Ibrahim baba wa Manabii wengi.
.Muhammad (saw) ametufunza kumuabudu Mungu mmoja wa pekee
.Yesu pia na yeye katufunza Hivyo.
.Ibrahimu pia Alikuwa akimuabudu Mungu moja wa Pekee.
Wewe umefuata mafundisho ya Paulo kakuingiza Chakani.
tafakuri maandiko.
 
Mwanzo:21:20 Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde
Habari za Ishmali hazikuenelezwa katika Biblia, kwa sababu kitabu hiki kimekusanya Matokeo na mafunzoya Uzao wa Isanka.
Qur-animefafanua pale ilipomalizia Taurati kuhusu Ishmael.
Kwa kifu Ismaeli ulikuwa ni Mpango wa Mungu wa Baadae na kwa mataifa yote ya Ulimwengu ,kama alivyomteua Isaka kwa wana wa Israeli tuu.
Nadhani wewe unachukuliakuwa Mungu hakumpenda Ismael, hapana alimpenda ,lakini Plan yake ilikuwa bado kwanza.
Kwahiyo hizi habari hazikuwepo mpaka alipozileta muhammad?
 
Jibu swali nililo kuuliza wewe si ulisema kuja wayu walishuhudia Yesu akisulubiwa ?

Kingine uongo gani ulifanywa hapo ? Kwahiyo Mola kumuokoa mja wake ni uongo ? Kijana una matatizo ya akili.
Yani uoni uongo hapo , kuweka mtu mwingine anaefanana na original?
 
Yani uoni uongo hapo , kuweka mtu mwingine anaefanana na original?
Jibu swali nililo kuuliza. Maana yake waongo ni nyinyi ambao mnasema Yesu alisulubiwa wakati kiuhalisia hakusulubiwa.
 
Jibu swali nililo kuuliza. Maana yake waongo ni nyinyi ambao mnasema Yesu alisulubiwa wakati kiuhalisia hakusulubiwa.
Muongo ni Allah yeye ndio alifanya tukio la kuongopa na hakusema ukweli miaka 600, ata wewe Kisai ungekuwa pale ungeona na ungeamini , Kuna sheikh mmoja kakiri wazi hiyo Aya Kuna mtu kaichomeka maana haeleti mantiki kwa nini Allah adanganye
 
Jibu swali nililo kuuliza. Maana yake waongo ni nyinyi ambao mnasema Yesu alisulubiwa wakati kiuhalisia hakusulubiwa.
Ni jambo la kuchekesha Yani unasema anamuokoa mja wake na anamtua uhai mja wake mwingine 😂😂😂😂😂😂 hii story ya Isa bandia muhammad alichemka Sana kutunga ujinga
 
Back
Top Bottom