ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kwenye uislamu kuna kitu kinaitwa sadaka yenye kuendelea kama kuchangia msikiti, kufundisha mtu elimu n.k, hata ukifa wema wako haufi, ndio maana kwa wema ule wa mtume kutupa elimu , tutaendelea kumuombea hata kama kafa, huko kwenu kama mtu hakifa hana maana mtajua wenyeweMkuu hii mada imeuliza bila chuki yoyote, ni katika kutafuta maarifa.
Mungu anaweza kufanya chochote kwa hekima yake hivyo akivaa mwili mijeledi anakula vizuri tu na ukombozi tumeupokea bure kwa damu yake.Mungu hawezi kuteswa na watu alio waumba mwenyewe ili awakomboe watu hao hao, hivi ni vichekesho vya karne, unashangaa Mohamadi kuombewa halafu Mungu wako kupigwa mijeledi inakuingia akilini, dunia imejaa vituko
Akiombewa kule aliko anapata faida gani? Ningependa kuzijua.Kwenye uislamu kuna kitu kinaitwa sadaka yenye kuendelea kama kuchangia msikiti, kufundisha mtu elimu n.k, hata ukifa wema wako haufi, ndio maana kwa wema ule wa mtume kutupa elimu , tutaendelea kumuombea hata kama kafa, huko kwenu kama mtu hakifa hana maana mtajua wenyewe
Kwahiyo mungu anakufa? Maana siku ya ijumaa kuu yesu alikufa kwahiyo siku hiyo duniani mungu hakiwepo?Yesu ni Mungu aliyehai na rafiki wa karibu. Ameumba vyote unavyoona na usivyoona. Mungu huyu alivaa mwili ili kuwakomboa wanadamu.
Waebrania 9:27 mtu anakufa mara moja na baada ya hapo ni hukumu. Kuombea wafu ni kupoteza muda maana hakuna kinachobadilika tena.Sio mtume tu hata wazazi wetu wakifa tunawaombea, hata waalimu waliotufunza dini tunawaombea,hivyo basi Uislamu unatambua kuwa mtume ndio aliotufunza jambo la kumtambua Mungu hivyo tutaendelea kumuombea hata kama kafa, maana mema yake hayafi
Mungu hakuzaliwa,Mungu hazai,Mungu hanamfano wa kitu au hana sura,Mungu hafi,Mungu hanamshrika yaani yuko peke yake.Sasa sijui Yesu hapo anaingia vipi?Mungu ni uncreated creator, omniscient, omnipotent na omnipresent.
Mungu hawezi kuchapwa mijeledi na watu alio waumba, hakuna atakae thubutu hata kumsogelea, inashangaza eti Mungu ili awaokoe watu mpaka waje wamtundike kama ndafu, hii imani mnaamini vip? kuna vitu Mungu hawezi fanya ipo siku huyo Mungu wenu watu watambebesha mimba maana kila kitu anafanyaMungu anaweza kufanya chochote kwa hekima yake hivyo akivaa mwili mijeledi anakula vizuri tu na ukombozi tumeupokea bure kwa damu yake.
Unataka kichekesho? Soma quran 4:157-158. Allah kawadanganya wayahudi halafu anawahukumu kwa kuamini uongo wake.
Kufa hata mimi nikifa (nikitoka kwenye huu mwili) haimaanishi kwamba I cease to exit. Kwahiyo Mungu alitoka kwenye mwili lakini hakuacha kuendelea kuwa Mungu.Kwahiyo mungu anakufa? Maana siku ya ijumaa kuu yesu alikufa kwahiyo siku hiyo duniani mungu hakiwepo?
Unataka kichekesho? Soma quran 4:157-158. Allah kawadanganya wayahudi halafu anawahukumu kwa kuamini uongo wake.Mungu hawezi kuchapwa mijeledi na watu alio waumba, hakuna atakae thubutu hata kumsogelea, inashangaza eti Mungu ili awaokoe watu mpaka waje wamtundike kama ndafu, hii imani mnaamini vip? kuna vitu Mungu hawezi fanya ipo siku huyo Mungu wenu watu watambebesha mimba maana kila kitu anafanya
Mema yake hayaishi , uislamu umetoa fursa jenga msikiti mema yako yatakuja hata ukifa mpaka msikiti ubomoke, ukifundisha mtu nae akifundisha watu mema yanakuja mpaka wote wafe, huwezi elewa mambo mazuri kama hayaWaebrania 9:27 mtu anakufa mara moja na baada ya hapo ni hukumu. Kuombea wafu ni kupoteza muda maana hakuna kinachobadilika tena.
Lete aya hapa acha kuleta tafsiri za uchochoroni, nataka nikufanye ubao wewe mwenyeweUnataka kichekesho? Soma quran 4:157-158. Allah kawadanganya wayahudi halafu anawahukumu kwa kuamini uongo wake.
Thawabu zinaongezekaAkiombewa kule aliko anapata faida gani? Ningependa kuzijua.
Nimecheka sana,Mungu aliyeumba milima,bahari, wanyama wakubwa kama nyangumi anamuogopa binadamu aliyemuumba, wakati vizazi viliyopita alikuwa anatuma Malaika wake tu wakaviteketezeMungu hawezi kuteswa na watu alio waumba mwenyewe ili awakomboe watu hao hao, hivi ni vichekesho vya karne, unashangaa Mohamadi kuombewa halafu Mungu wako kupigwa mijeledi inakuingia akilini, dunia imejaa vituko
Mungu yupo kama mwanadamu tu (mwanadamu kaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu) japokuwa upekee wake upo kwenye ukweli kwamba yeye ni omnipotent, omniscient na omnipresent.Mungu hakuzaliwa,Mungu hazai,Mungu hanamfano wa kitu au hana sura,Mungu hafi,Mungu hanamshrika yaani yuko peke yake.Sasa sijui Yesu hapo anaingia vipi?
Ahahaha acha tu , Mungu anatemewa mateNimecheka sana,Mungu aliyeumba milima,bahari, wanyama wakubwa kama nyangumi anamuogopa binadamu aliyemuumba, wakati vizazi viliyopita alikuwa anatuma Malaika wake tu wakaviteketeze
Lete aya hapa acha kuleta tafsiri za uchochoroni, nataka nikufanye ubao wewe mwenyewe
Hakuna kitu kama hicho,kalibu kwenye Uisilamu upate Elimu ya kweli isiyokuwa na kupingana,inamaana ili wewe umsamehee mjukuu wako badala ya kumtandika fimbo badala yake yeye ndiye anayekutandika.Huo siyo upendo ili ujinga na usitarajie huyo mjukuu kama atakuheshimu tenaMungu yupo kama mwanadamu tu (mwanadamu kaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu) japokuwa upekee wake upo kwenye ukweli kwamba yeye ni omnipotent, omniscient na omnipresent.
Ibada za wafu.Thawabu zinaongezeka
Neno la Mungu kamilifu lipo kwenye biblia takatifu.Hakuna kitu kama hicho,kalibu kwenye Uisilamu upate Elimu ya kweli isiyokuwa na kupingana,inamaana ili wewe umsamehee mjukuu wako badala ya kumtandika fimbo badala yake yeye ndiye anayekutandika.Huo siyo upendo ili ujinga na usitarajie huyo mjukuu kama atakuheshimu tena