Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Swali UNAMUOMBEAJE MFU /MAREHEMU APATE REHEMA NA AMAN?

ALIPOKUWA HAI ALIKUWA WAPI KUJIANDAA?

SWALI KABLA HUJASWALIWA

ACHENI UJINGA WA KUOMBEA WAFU ,ACHENI IBADA ZA WAFU

HAYA NI MAFUNDISHO YA ROMAN CATHOLIC

WAZEE WA PURGATORY AU TOHARANI

UTAANZA KUELEWA KUWA UISLAMU ULIANZISHWA NA ROMAN CATHOLIC

Biblia. Kumbukumbu la Torati 18:10-11
[10]Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,

[11]wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.

Mungu alipiga marufuku wabashiri lakini Mohammad anajiita mbashiri

Alipiga marufuku kuwaomba wafu lakini maislam yanaendelea kuwaomba makaburini
 
Attachments

  • FB_IMG_1653906188336.jpg
    35.2 KB · Views: 11
Unamuulizia yule nabii aliyekua na nguvu za kiume sawa na wanaume 40?
 
Nani aliomba hadi Lazaro akafufuliwa!?
 
1. Hivi wewe uelewi au umekosa maswali? nimekwambia tunawaombea kwa mema yao mazuri waliofanya,UISLAMU unakumbuka mtu hata akiwa amekufa na kumuombea maombi mema, nikakupa mfano hata sheikh wangu na muombea kwa kunipa hii elimu unayo ona sasa nikikujibu, tunawaombea Mungu sio tunawaomba, elewa kiswahili una swali jingine?

2.halafu umekuja na hoja ya ubashiri halafu unaleta andiko la kwenye biblia na kusema mtume alikuwa mbashiri, lete andiko mtume alikuwa mbashiri kwanza kwenye vyanzo vya kiislamu halafu nikupe elimu mbadala utaelewa tu
 
UNAKWEPA MASWAL KIJANA

NAKUJA HAPA NA MISIMAMO YA MADHEHEBU YOTE YA UISLAMU ,HALAFU UNIAMBIE LIPI NDIO TULIFATE AU LIPI NDIO UISLAMU HALISI
Dhehebu lolote ambalo halimtambui Allah na mtume wake mohamadi hilo ndio la kupinga, vile vile mtu yeyote atakae mpa uungu Isa bin Maryamu ambaye Quran imesema alikuwa anakwenda chooni kama wengine huyo ni tatizo, mengine yote hayana tatizo
 
Utakatifu unaompa mtu uzima wa milele unatokana na imani kwa Yesu Kristo ili kupata msamaha wa dhambi. Nje ya hapo hakuna utakatifu wowote.
Yesu ni mtu kama mimi tu hawezi kuwa Mungu , hivyo imani ya kufanya binadamu wenzangu kuwa Mungu nimeikataa hadharani
 
Haki Ile aliinunua kihalali na akafanya mbinu kuhakikisha baba yake hamfanyii fitna kumnyima kisa chakula cha Esau.
Sio akafanya mbinu acha kuzunguka akafanya uongo ili apate haki, sasa haki yako uongo wa nini? haya ni maajabu
 
Koran 33;56. Hakika Allah na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu
 
hamis77 kuna post umeweka ndefu sana inasababisha loading inafail. Naomba ulitoe halafu uweke kwa kulikata vipande. Asante.🙏
 
Koran 33;56. Hakika Allah na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu
Hadi Allah anamuombea nabii? Anamuombea kwa Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Yesu Kristo.
 
Sio akafanya mbinu acha kuzunguka akafanya uongo ili apate haki, sasa haki yako uongo wa nini? haya ni maajabu
Haki yake kachukua na amebarikiwa kwa jina la Israel. Taifa dogo linalotawala mashariki ya kati yote. Hii ni baraka ya Mungu kwa Israel.
 
Yesu ni mtu kama mimi tu hawezi kuwa Mungu , hivyo imani ya kufanya binadamu wenzangu kuwa Mungu nimeikataa hadharani
Siku inakuja, kila ulimi utakiri na kila goti litapigwa kwa Bwana Yesu Kristo, Mungu Mwenyenzi.
 
Haki yake kachukua na amebarikiwa kwa jina la Israel. Taifa dogo linalotawala mashariki ya kati yote. Hii ni baraka ya Mungu kwa Israel.
Haki iliopatikana kwa ubatili wa hali ya juu, kwa kumdanganya baba mzazi , bora nibaki bila baraka lakini sio uongo wa kumdanganya baba mzazi kwa kushirikiana na mama
 
Haki iliopatikana kwa ubatili wa hali ya juu, kwa kumdanganya baba mzazi , bora nibaki bila baraka lakini sio uongo wa kumdanganya baba mzazi kwa kushirikiana na mama
Hata wewe unayo makosa kama ya Yakobo na mama yake lakini bado yapo mema mengi Mungu anakutendea.
 
Hayo makundi yote ni ya Mudi na Mudi kashawahakikishia wote Jehanam sasa wanatafutana Kati ya Shia na Suni nani mbaba ili wamuite Mudi wamuulize ila mbaya zaidi Mudi kafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…