Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Muhammad ukimsoma Wikipedia ni bonge moja la jamaa mstaarabu ila dini yake aliyoanzisha imekuwa na changamoto sana duniani baada ya kuweka mafundisho ya violence.

Kwasababu umetumia biblia tena kitabu cha Yohana, mimi nakupeleka sura ya kwanza:

1. Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

2. Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu.

3. Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa.

4. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu.

5. Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda.

14. Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utukufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba.
Nyongeza.
Mimi nilivyo mfahamu Yesu ni kuwa Katumwa na MUNGU awafundishe watu wapate kumjua MUNGU na wamtumikie Mungu.
Kazi hii Yesu Kaitimiza.
''Yoh.17; 8 kwa kuwa nimewapa ujumbe ulionipa, nao wameupokea. Wamefahamu hakika ya kuwa nimetoka kwako na wameamini kwamba ulinituma.

Hata Mimi naamini pia kuwa Yesu kweli alitumwa na MUNGU,
halikadhalika naamini Kuwa Muhammad naye Katumwa na MUNGU tena yule yule kwa ulimwengu.
Sasa hizi stori za Yohana hazikutoka kinywani mwa Yesu, na si sehemu ya Ujumbe wa Yesu. Bali ni Maono yake .

Yesu alisema
Mimi nawaambia maneno yatokayo kwa Baba aliye nituma hamuyaamini, lakini akija mwingine na maneno yake huyo mutamuamini.

Hili ndio tatizo lako wewe.
Naomba Zikanushe hizo kauli za Yesu kwanza kuwa ni Muongo? na yohana ndiye mkweli
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayefikiria au anayetaka kuifuta dini yoyote
Ushauri:

Haya mambo ya kukashifiana dini ningeshauri yaishe tu kwa sababu zifuatazo;
1. Haiwezekani tena kuufuta Uislamu au Ukristo. Mamia ya miaka ya mashindano kati ya dini hizi mbili bila mafanikio ya upande wowote, ni ushahidi tosha. Tuchape kazi katika kuzitafutia familia zetu na wenye shida (sadaka) mahitaji muhimu......hiyo ni ibada nzuri, kwa upande wowote wa imani uliopo, na yenye maana kuliko kutafuta shari na migongano.

2. Ni ukweli kuwa kwa kizazi cha sasa akili za kuweza kuua Uislamu au Ukristo HATUNA! Sana sana tutaishia kutukanana n.k. Vyakula vya chips, mayai tvs n.k vimedororesha pakubwa uwezo wetu wa kufikiri. Kujaribu kutikisa hoja za Qur'an au Biblia kwa kizazi hiki ni kupoteza muda tu......tumeisha; tufuate tu kila mmoja wetu anakotaka kufuata tupite tuwapishe wengine!
 
Umeshtuka kufahamu nipo sio.?
Teh teh teh teh.
Usiogope. Mimi sina ugomvi na wagalatia tena. Niko hapa kuwapa darsa tu.

Allahumma swali alaa Muhammad wa alii Muhammad wabarik wasallam.
Sawasawa, endelea kumswalia mtume
 
Mimi nashukuru kwa uchambuzi wako,
Aliyesema Katumwa kuja kuwafundisha watu wamjue Mungu ni Yesu
Bali yesu yeye Mwenyewe anasema alimuabudu Mungu.
Naye Yesu kawafundisha watu hivyo , wamuabudu Mungu.
Sasa huyu anayesema kuwa Yesu ndiye Mungu mwenyewe si anampinga Yesu?
Je We wamuabudu Mungu wa Yesu kama Mimi au unamuabudu nani?
Namwabudu Yesu Kristo ambaye ni Mungu wa milele. Mungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
 
Nyongeza.
Mimi nilivyo mfahamu Yesu ni kuwa Katumwa na MUNGU awafundishe watu wapate kumjua MUNGU na wamtumikie Mungu.
Kazi hii Yesu Kaitimiza.
''Yoh.17; 8 kwa kuwa nimewapa ujumbe ulionipa, nao wameupokea. Wamefahamu hakika ya kuwa nimetoka kwako na wameamini kwamba ulinituma.

Hata Mimi naamini pia kuwa Yesu kweli alitumwa na MUNGU,
halikadhalika naamini Kuwa Muhammad naye Katumwa na MUNGU tena yule yule kwa ulimwengu.
Sasa hizi stori za Yohana hazikutoka kinywani mwa Yesu, na si sehemu ya Ujumbe wa Yesu. Bali ni Maono yake .

Yesu alisema
Mimi nawaambia maneno yatokayo kwa Baba aliye nituma hamuyaamini, lakini akija mwingine na maneno yake huyo mutamuamini.

Hili ndio tatizo lako wewe.
Naomba Zikanushe hizo kauli za Yesu kwanza kuwa ni Muongo? na yohana ndiye mkweli
Yohana ndiye ameandika kitabu chote cha Yohana, na kwasababu hiyo hakuna sehemu anajipinga.

Changamoto ni kwamba unataka kuchukua andiko moja, unalitoa out of context ili kuthibitisha kile unataka andiko hilo limaanishe.

Nenda YouTube umtafute Dr Myles Munroe na Ravi Zacharias ujifunze kuhusu imani ya kikristo ili ujue namna ya kutoa tafsiri sahihi.
 
Namwabudu Yesu Kristo ambaye ni Mungu wa milele. Mungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Yesu Atofautishwa na Mungu

TENA na tena, Yesu alionyesha kwamba yeye ni kiumbe aliye tofauti na Mungu na kwamba yeye, Yesu, ana Mungu aliye juu yake, Mungu ambaye yeye aliabudu, Mungu ambaye yeye aliita “Baba.” Katika sala kwa Mungu, yaani, Baba, Yesu alisema, “Wewe uliye peke yako Mungu wa kweli.” (Yohana 17:3, HNWW) Kwenye Yohana 20:17 alisema hivi kwa Mariamu Magdalene: “Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.” Kwenye 2 Wakorintho 1:3 mtume Paulo huhakikisha uhusiano huu: “Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.” Kwa kuwa Yesu alikuwa ana Mungu fulani, Baba yake, (Yesu) hangeweza wakati ule ule kuwa ndiye Mungu huyo.

Aliyekwambia wewe Yesu umuite mungu ni Paulo. Mtu ambae kabla ya kujipa utume ALIUA wafuasi wa Yesu zaidi ya MILION
PAULO (Sauli) anasema.

Kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, . . . yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo.” (1 Wakorintho 8:6)
Paulo huonyesha tofauti hiyo atajapo “kuwapo kwa Mungu na kwa Kristo Yesu na kwa malaika wateule.” (1 Timotheo 5:21

JE UTAMFUATA YESU au Paulo ambae hakuwahi kuonana na Yesu wala kusoma kwake na aliyeua wakristo mamilion?

Maamuzi juu yako
 
We Kafiri Kweli Umekafirika Haswaaa
[emoji851][emoji851]

Em Tuambie Katika Dini Yako Kuna Madhehebu Ni Lipi Dhehebu La Bwana Yesu..?

Kwani Yesu Alileta Madhehebu Mbona Kuna Madhehebu Mengi Sana Katika Dini Yako Lipi Sahihi..?

Kuna Sehemu Yoyote katika Biblia Yesu Alisema Wakristo Wataenda Mbinguni...?

Sasa Ivi Wakristo Wapo Madhehebu Mengi Sana Yenye Taratibu Zake Tofauti Tena Wengine Wanatofautia Kila Kitu Mpaka Siku Ya Kuabudu Hata Wewe Una Dhehebu Lako Katika Ukristo.

Ebu Tuambie Mahali Yesu Alisema Wasabato au Walokole Wataenda Mbinguni..? Kwani Hao Sio Katika Wafuasi Wake..?

Elewa Hivi Katika Uislam Mtume Hakuleta Madhehebu Bali alileta Uislam Na Akasema Watakaomfata Yeye Wataenda Peponi Kwamaana Waislam Sahihi Wanaofata Mafundisho Yake Ndio Wataenda Peponi Unataka Jibu Gani Tena Zaidi Ya Hilo..?
SIJAKUULIZA MAMBO YA UKRISTO MIMI ,NIMEKUULIZA UNAZUNGUMZZIA UISLAMU UPI?

UMEKUJA NA NGONJERA 1000,

JIBU SWALI ,MM SIJAKUULIZA KUHUSU UKRISTO
 
Attachments

  • FB_IMG_1652988700079.jpg
    FB_IMG_1652988700079.jpg
    25.1 KB · Views: 11
Story ni ndefu ILA am doing fine ba Namshukuru Muumba kila siku nakua kiimani na kufunzwa vitu vipya
Nakuombea kama mtume Paulo alivyo liombea kanisa la Efeso kwamba macho yako ya rohoni yafunguliwe upate kulijua tumaini la wito wetu ndani ya Yesu na ubora wa ukuu wa ahadi zake kwetu sisi tuaminio. Neema ya Mungu isikuache ili ukamrudie Yesu na kupata msamaha wa dhambi na uzima wa milele.
 
Yesu Atofautishwa na Mungu

TENA na tena, Yesu alionyesha kwamba yeye ni kiumbe aliye tofauti na Mungu na kwamba yeye, Yesu, ana Mungu aliye juu yake, Mungu ambaye yeye aliabudu, Mungu ambaye yeye aliita “Baba.” Katika sala kwa Mungu, yaani, Baba, Yesu alisema, “Wewe uliye peke yako Mungu wa kweli.” (Yohana 17:3, HNWW) Kwenye Yohana 20:17 alisema hivi kwa Mariamu Magdalene: “Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.” Kwenye 2 Wakorintho 1:3 mtume Paulo huhakikisha uhusiano huu: “Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.” Kwa kuwa Yesu alikuwa ana Mungu fulani, Baba yake, (Yesu) hangeweza wakati ule ule kuwa ndiye Mungu huyo.

Aliyekwambia wewe Yesu umuite mungu ni Paulo. Mtu ambae kabla ya kujipa utume ALIUA wafuasi wa Yesu zaidi ya MILION
PAULO (Sauli) anasema.

Kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, . . . yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo.” (1 Wakorintho 8:6)
Paulo huonyesha tofauti hiyo atajapo “kuwapo kwa Mungu na kwa Kristo Yesu na kwa malaika wateule.” (1 Timotheo 5:21

JE UTAMFUATA YESU au Paulo ambae hakuwahi kuonana na Yesu wala kusoma kwake na aliyeua wakristo mamilion?

Maamuzi juu yako
Tafsiri ya biblia utaipata na kuielewa ukiondoa literal translation mnayoitumia kwenye quran. Unahitaji sana macho ya rohoni kuweza kuelewa biblia hasa kwenye maeneo ambayo yanaonekana kama yanajipinga.

Pia unapaswa kujua tofauti iliyopo kati ya Yesu kama mwanadamu na Kristo kama Mungu wa milele.

Nakuombea neema ya Mungu kukufungua ufahamu wako.
 
Nakuombea kama mtume Paulo alivyo liombea kanisa la Efeso kwamba macho yako ya rohoni yafunguliwe upate kulijua tumaini la wito wetu ndani ya Yesu na ubora wa ukuu wa ahadi zake kwetu sisi tuaminio. Neema ya Mungu isikuache ili ukamrudie Yesu na kupata msamaha wa dhambi na uzima wa milele.
TOFAUTI yangu na WEWE, mimi nimeona pande zote mbili na Mola Mlezi ameniongoza HIVYO NAHESHIMU MSIMAMO WA KILA MTU NA SIPENDI KUJADILI HAYO.....

ukihisi you're fine where you're then let it be for You!!!! Kwangu mimi I have seen the true light to eternal peace!!!!

USHAURI: Imani tunazaliwa nazo na kuelewa na kukuzwa nazo HIVYO IKIFIKA WAKATI CHALLENGE YOURSELF KUJUA WHETHER you're standing on the real ROCK or on a LOOSE SAND....

Nina ndugu na jamaa on both sides of the COIN, nawaheshimu na kushirikiana nao wala hamna neno.
 
Well noted. I did a thorough research on Islam and Christianity so I know the truth.

Wishing you a nice trip on the direction of your choice.

Shalom.
 
Namwabudu Yesu Kristo ambaye ni Mungu wa milele. Mungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Sasa nimejua kuwa Mafundisho ya Bw. Yesu hayakufahamika na walio wengi.
Kama mwenyewe alivyosema.
''Wengi watakuja kwa jina langu, wakisema kuwa mimi ni KRISTO na watawapoteza wengi.''

Yaani yesu anawafundisha watu jinsiya Kusali na kuomba, badla yake watu wanageuza kibao na wanamuabudu Yeye Yesu kweli .

Mt 6:9-13 SUV​

Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni (MUNGU), Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe leo riziki yetu. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
 
Yesu ,Mtumishi mteule wa Mungu
Soma Mathayo 12:
15Lakini Yesu alipojua jambo hilo, akatoka mahali pale. Watu wengi walimfuata, akawaponya wagonjwa wote, 16akawaamuru wasiwaambie watu habari zake, 17 ili yale aliyosema Mungu kwa njia ya nabii Isaya yatimie:
18“Tazama mtumishi wangu niliyemteua,
mpendwa wangu anipendezaye moyoni.
Nitaiweka roho yangu juu yake,
naye atatangaza hukumu yangu kwa mataifa yote.
19Hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele,
wala sauti yake haitasikika barabarani.

Yesu alikuwa Mtumishi wa Mungukwa mujibu wa Biblia, Wewe unasema Yeye Ni MUNGU
Wewe ni KRISTO wa UONGO na Umepotezwa na unapoteza wenzako
 
Ambacho kinasauhulika ni kuwa Mtume wa Allah Rehema na Amani ziwe juu yake ameletwa kuwa kiigizo CHEMA kwa wanadamu WOTE [role Model].... Best of character na mwenye cheo cha Juu kabisa,
Uko wapi mrembo nahitaji kukuona nina jambo nawe
 
Back
Top Bottom