Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #261
Naendelea kusisitiza kwamba unahitaji kufahamu ni wakati gani Yesu aliongea kama mwanadamu na wakati ambao aliongea kama Mungu.Yesu ,Mtumishi mteule wa Mungu
Soma Mathayo 12: 15Lakini Yesu alipojua jambo hilo, akatoka mahali pale. Watu wengi walimfuata, akawaponya wagonjwa wote, 16akawaamuru wasiwaambie watu habari zake, 17 ili yale aliyosema Mungu kwa njia ya nabii Isaya yatimie:
18“Tazama mtumishi wangu niliyemteua,
mpendwa wangu anipendezaye moyoni.
Nitaiweka roho yangu juu yake,
naye atatangaza hukumu yangu kwa mataifa yote.
19Hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele,
wala sauti yake haitasikika barabarani.
Yesu alikuwa Mtumishi wa Mungukwa mujibu wa Biblia, Wewe unasema Yeye Ni MUNGU
Wewe ni KRISTO wa UONGO na Umepotezwa na unapoteza wenzako
Tafuta mafundisho ya namna ya kutafsiri biblia ili usipate tafsiri isiyokuwa sahihi.