Elewa wewe mbuzimaji! Kila mbunge atapewa mitungi 100 akaigawe jimboni kwake. Sasa wabunge ni 300+ zidisha Mara mitungi 100 zidisha Mara shilingi 50,000/= kwa Kila nyingi uatapata kiasi Cha fedha zilizotumika. Haya, chukua kisimu chako Cha kitochi uingie kwenye calculator ufanye hiyo homework na najua takuletea figure ambazo screen ya simu yako Haina uwezo wa kuandika yote!Wee ni kiazi! Mitungi 300 sawa na wabunge 300.....300 times 50,000 unapata Bilioni 1 na nusu!?!!!.....kiazi wahead!
Mitungi 100 kwa kila mbunge.Mwalimu wako aliekufundisha hesabu anastahili viboko!!
Mitungi 300 KWA bei ya elfu50 KILA mtungi unapataje Bilioni 1.5 Badala ya milioni 15!?
Tena sio tu rushwa ni ghiribu.Hii ni rushwa ya wazi kabisa.
Chaji ya utulivu bado ipo ya kutosha sasa ngoja ikate hawa jamaa wataomba usuluhishi hata mbinguni na hawatapata.Hivi ni watanzania wameamua kuwa wapangaji kwenye hii nchi ama?
Maana ni kama wananchi wote, wako kwenye usingizi wa pono.
Viongozi wanafanya vituko vyote, wanaoiba, wanaogawana, watu kimya!!!
Babu yetu wa Butiama, kuna kitu alizindika?
Wabunge 300, Kila mbunge mmoja apewe MiTUNGI 100 ni mitungi 30,000. Zidisha mara 50,000 inakuja 1.5 bn.Wee ni kiazi! Mitungi 300 sawa na wabunge 300.....300 times 50,000 unapata Bilioni 1 na nusu!?!!!.....kiazi wahead!
Nilikuwa nasikiliza bunge, si Pekee Bi salma Kikwete aliyeliongelea hilo.Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa mitungi hiyo mia moja kwa kila Mbunge na zaidi alipoenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Fedha za kuwanunulia Wabunge mitungi hiyo zimetoka katika bajeti ya mwaka jana.
My Take haya maigizo hayana faida kwa Watanzania wa hali ya chini hizo Fedha mitungu100xbeikwakilamtungi50000xidadi ya Wabunge wasiopungua300=B1.5 Tsh na Kuna vijiji hadi leo umeme haujafika bajeti ya Wizara Wabunge wanagawana tena kipindi ambacho Bunge linatakiwa kupitisha Bajeti ya Wizara husika hapa Makamba Kama Taasisi lazma akubali kubeba lawama na kashafa ya Aina yoyote.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿🤲
Takrima imerudi kwa sura mpyaSijaelewa vema ila kama ni kweli basi hii itakuwa Aina mpya ya utoaji wa Rushwa kwa Wagonga meza.
Rushwa ya wazi kabisaLeo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa mitungi hiyo mia moja kwa kila Mbunge na zaidi alipoenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Fedha za kuwanunulia Wabunge mitungi hiyo zimetoka katika bajeti ya mwaka jana.
My Take haya maigizo hayana faida kwa Watanzania wa hali ya chini hizo Fedha mitungu100xbeikwakilamtungi50000xidadi ya Wabunge wasiopungua300=B1.5 Tsh na Kuna vijiji hadi leo umeme haujafika bajeti ya Wizara Wabunge wanagawana tena kipindi ambacho Bunge linatakiwa kupitisha Bajeti ya Wizara husika hapa Makamba Kama Taasisi lazma akubali kubeba lawama na kashafa ya Aina yoyote.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA [emoji1241][emoji2969]
Pumbavu sana hawa.Tena sio tu rushwa ni ghiribu.
Makini sana broKila siku nasema humu, bila machafuko hatutaheshimiana.
Jamani Hadi kinyaa. Mimi katika mji wangu kuna watu wenye shida na taabu wanahitaji pesa kwa AJILI ya matibu tena hela kidogo tu lakini wao wanafanya upuuzi huu. Mungu awajalie 2025 warudi tena.Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa mitungi hiyo mia moja kwa kila Mbunge na zaidi alipoenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Fedha za kuwanunulia Wabunge mitungi hiyo zimetoka katika bajeti ya mwaka jana.
My Take haya maigizo hayana faida kwa Watanzania wa hali ya chini hizo Fedha mitungu100xbeikwakilamtungi50000xidadi ya Wabunge wasiopungua300=B1.5 Tsh na Kuna vijiji hadi leo umeme haujafika bajeti ya Wizara Wabunge wanagawana tena kipindi ambacho Bunge linatakiwa kupitisha Bajeti ya Wizara husika hapa Makamba Kama Taasisi lazma akubali kubeba lawama na kashafa ya Aina yoyote.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA [emoji1241][emoji2969]
Kuna Spika mule basi,yule kawekwa ili watu wafanye yao.Nilimdharau siku Ile Wafanyabiashara wamegoma Kariakoo,yeye anasema hana taarifa!Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa mitungi hiyo mia moja kwa kila Mbunge na zaidi alipoenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Fedha za kuwanunulia Wabunge mitungi hiyo zimetoka katika bajeti ya mwaka jana.
My Take haya maigizo hayana faida kwa Watanzania wa hali ya chini hizo Fedha mitungu100xbeikwakilamtungi50000xidadi ya Wabunge wasiopungua300=B1.5 Tsh na Kuna vijiji hadi leo umeme haujafika bajeti ya Wizara Wabunge wanagawana tena kipindi ambacho Bunge linatakiwa kupitisha Bajeti ya Wizara husika hapa Makamba Kama Taasisi lazma akubali kubeba lawama na kashafa ya Aina yoyote.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA [emoji1241][emoji2969]
Kumbe sio mtungi mmoja mmoja KWA KILA mbunge!?... Kumbe ni mitungi 100 KWA mbunge mmoja!!! Huu si ufisadi kabisa aiseeWabunge 300, Kila mbunge mmoja apewe MiTUNGI 100 ni mitungi 30,000. Zidisha mara 50,000 inakuja 1.5 bn.
Hesabu hazidanganyi, pia kama hujui idadi ya 000 ktk 1bn ni ngapi uliza uelekezwe.
Duh aisee! NILIKUA Najua ni mtungi mmoja mmoja....hii ni rushwa ya wazi kabisaMitungi 100 kwa kila mbunge.
Usisahau zile milioni 10 zilizotolewa kwa kila mbunge wa CCM ili wapitishe muswada haramu. Mbowe alivyomuhoji Waziri Mkuu Majaliwa kutaka ufafanuzi Spika Tulia aka Betina alizuia kutolewa kwa ufafanuzi.Sijaelewa vema ila kama ni kweli basi hii itakuwa Aina mpya ya utoaji wa Rushwa kwa Wagonga meza.
Siyo Tz ya CCM, bali ni CCM ya Tz. Rekebisha tafadhaliHiyo ndio Tz ya Ccm...
Kamuone mbunge wako, muelezee matatizo yako utuletee Mrejesho Kakutatulia vipi.Jamani Hadi kinyaa. Mimi katika mji wangu kuna watu wenye shida na taabu wanahitaji pesa kwa AJILI ya matibu tena hela kidogo tu lakini wao wanafanya upuuzi huu. Mungu awajalie 2025 warudi tena.