KERO Responded Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Humble__

Member
Joined
Sep 10, 2020
Posts
17
Reaction score
31
Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom

Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne

Pia hata hayo majengo yana sewage system mbovu sana vyoo vichafu utadhani wanasoma watoto wa shule za msingi and they don't care kabisa na Hali ya Dodoma maji yakikatika ni hatari tupu

Sad enough kuna watu naona kwenye post wanatetea kuwa uUDOM haewezi kujaa kwa sababu yeye kasoma mwaka 2012

Kwa ufupi Hali ni mbaya sana hayo majengo ikitokea magonjwa ya mlipuko mtapoteza watoto wengi sana

Guys hebu uongozi ushughulikie hili swala.

Pia soma ~ Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimechapisha video inayoonesha vyoo vya majengo yao ni visafi
 
📸📷📸📷📸📷📸📷📷📸📷📷📷📷📸📷
 
Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom

Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne

Pia hata hayo majengo yana sewage system mbovu sana vyoo vichafu utadhani wanasoma watoto wa shule za msingi and they don't care kabisa na Hali ya Dodoma maji yakikatika ni hatari tupu

Sad enough kuna watu naona kwenye post wanatetea kuwa uUDOM haewezi kujaa kwa sababu yeye kasoma mwaka 2012

Kwa ufupi Hali ni mbaya sana hayo majengo ikitokea magonjwa ya mlipuko mtapoteza watoto wengi sana

Guys hebu uongozi ushughulikie hili swala
Tanzania tunajua kujenga tu, maintainence ni zero. Ndio maana miradi mingi tunafurahia ikiwa mipya baada ya muda inachakaa na kuwa ya hovyo. Kila wakati serikali inawaza kujenga vitu vipya tu, ikikumbuka vya zamani basi watakuja na program ya kukarabati ambapo kiuhalisia sio kukarabati ni kujenga upya kila kitu. Fuatilia majengo ya serikali, barabara na miundombinu mingine imechoka balaa. Hela nyingi sana za serikali zinapotea ovyo kwa kurudiarudia ujenzi ndani ya muda mfupi badala kusonga mbele katika mambo mengine.
 
Hao waliopo hapo ni wasomi , ni hàtari sana kuwa na wasomi wasio weza pambana na changamoto zao wenyewe
Namkumbuka prof. chachage aliwahi kusema, " ukikuta mwanafunzi anasoma chuo miaka mitatu bila kugoma, basi jua mambo mawili yametokea katika kusoma kwake, haelewi anachofundishwa na wahadhiri au anakaririshwa ili afaulu mitihani"
sasa kama mwanafunzi wa chuo wanalala watu 10 na wapo kimya tu huko kazini itakuwaje?
 
😁😁
 
Kwakweli utawala mkuu wa UDOM kuna watu wanapiga pesa za maintenence chuo cha UDOM majengo ya chuo kizima yamechoka.

Ila twende mbele turudi nyuma waharibifu wakubwa wa miundombinu ni wanafunzi.

Unajua UDOM waporipori ni wengi sana wengine kuchamba kwao vita vyoo vya sink wamevikuta chuoni so ile elimi ya kujua kwamba hivyo vyoo vinahitaji maji mengi hawana......nilikuwa nakaa block 8 coese maji yapo ya kutosha ila yapo kisimani chini mtu anabanwa anaona uvivu kushuka chini kutoka floor ya pili kufata maji ya kuflashi basi anaenda kunya bila maji....kuna fala nilimdaka nilimjambisha sio powa mbona alisafisha choo.

Kwa kifupi vyoo vya UDOM ili unye unaflash kwanza ukimaliza unaacha mzigo mwengine naye ataflashi ili anye hahaha.

Choo kikiwa kizima kitatumiwa na floor nzima hadi za jirani kifuatacho foleni ya kukata gogo...maisha ya chuo ni michosho sana.
 
Achana na Udom, wakuu daslam inanuka kinyesi kila pahala.

Kariakoo ndo balaa na nusu, nnya tupu.
GENTAMYCINE na ndugu yake mmasai waliosema kuishi huko ndio kuishi mjini kisa kuna sewage systems, aloo acha nikaishi Goba tu.

Maji taka yanatoka kwenye chemba yananuka ni hatari, na hapohapo watu wanafanya biashara na misosi wanaikung'utia hapohapo.
 
Namkumbuka prof. chachage aliwahi kusema, " ukikuta mwanafunzi anasoma chuo miaka mitatu bila kugoma, basi jua mambo mawili yametokea katika kusoma kwake, haelewi anachofundishwa na wahadhiri au anakaririshwa ili afaulu mitihani"
sasa kama mwanafunzi wa chuo wanalala watu 10 na wapo kimya tu huko kazini itakuwaje?
😂😂😂😂😂😂
 
Achana na Udom, wakuu daslam inanuka kinyesi kila pahala.

Kariakoo ndo balaa na nusu, nnya tupu.
GENTAMYCINE na ndugu yake mmasai waliosema kuishi huko ndio kuishi mjini kisa kuna sewage systems, aloo acha nikaishi Goba tu.

Maji taka yanatoka kwenye chemba yananuka ni hatari, na hapohapo watu wanafanya biashara na misosi wanaikung'utia hapohapo.
Buguruniiiii!!! 😂😂😂😂😂
 
Buguruniiiii!!! 😂😂😂😂😂
Hiyo ni balaa pale sokoni aloo ni hatari na nusu, uchafu kila pahala. Chemba zinafumuka kila leo.

Mvua ikinyesha siku moja, maji yanajaa mtaani wiki hata 2.
 
Back
Top Bottom