Tanzania tunajua kujenga tu, maintainence ni zero. Ndio maana miradi mingi tunafurahia ikiwa mipya baada ya muda inachakaa na kuwa ya hovyo. Kila wakati serikali inawaza kujenga vitu vipya tu, ikikumbuka vya zamani basi watakuja na program ya kukarabati ambapo kiuhalisia sio kukarabati ni kujenga upya kila kitu. Fuatilia majengo ya serikali, barabara na miundombinu mingine imechoka balaa. Hela nyingi sana za serikali zinapotea ovyo kwa kurudiarudia ujenzi ndani ya muda mfupi badala kusonga mbele katika mambo mengine.Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom
Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne
Pia hata hayo majengo yana sewage system mbovu sana vyoo vichafu utadhani wanasoma watoto wa shule za msingi and they don't care kabisa na Hali ya Dodoma maji yakikatika ni hatari tupu
Sad enough kuna watu naona kwenye post wanatetea kuwa uUDOM haewezi kujaa kwa sababu yeye kasoma mwaka 2012
Kwa ufupi Hali ni mbaya sana hayo majengo ikitokea magonjwa ya mlipuko mtapoteza watoto wengi sana
Guys hebu uongozi ushughulikie hili swala
Namkumbuka prof. chachage aliwahi kusema, " ukikuta mwanafunzi anasoma chuo miaka mitatu bila kugoma, basi jua mambo mawili yametokea katika kusoma kwake, haelewi anachofundishwa na wahadhiri au anakaririshwa ili afaulu mitihani"Hao waliopo hapo ni wasomi , ni hΓ tari sana kuwa na wasomi wasio weza pambana na changamoto zao wenyewe
ππNamkumbuka prof. chachage aliwahi kusema, " ukikuta mwanafunzi anasoma chuo miaka mitatu bila kugoma, basi jua mambo mawili yametokea katika kusoma kwake, haelewi anachofundishwa na wahadhiri au anakaririshwa ili afaulu mitihani"
sasa kama mwanafunzi wa chuo wanalala watu 10 na wapo kimya tu huko kazini itakuwaje?
Wanatoa wapi hela za kukarabati?Hao waliopo hapo ni wasomi , ni hΓ tari sana kuwa na wasomi wasio weza pambana na changamoto zao wenyewe
ππππππNamkumbuka prof. chachage aliwahi kusema, " ukikuta mwanafunzi anasoma chuo miaka mitatu bila kugoma, basi jua mambo mawili yametokea katika kusoma kwake, haelewi anachofundishwa na wahadhiri au anakaririshwa ili afaulu mitihani"
sasa kama mwanafunzi wa chuo wanalala watu 10 na wapo kimya tu huko kazini itakuwaje?
Buguruniiiii!!! πππππAchana na Udom, wakuu daslam inanuka kinyesi kila pahala.
Kariakoo ndo balaa na nusu, nnya tupu.
GENTAMYCINE na ndugu yake mmasai waliosema kuishi huko ndio kuishi mjini kisa kuna sewage systems, aloo acha nikaishi Goba tu.
Maji taka yanatoka kwenye chemba yananuka ni hatari, na hapohapo watu wanafanya biashara na misosi wanaikung'utia hapohapo.
Hiyo ni balaa pale sokoni aloo ni hatari na nusu, uchafu kila pahala. Chemba zinafumuka kila leo.Buguruniiiii!!! πππππ