Miwani meusi ya Jacky , yazua Utata msibani.

UKWELI MCHUNGU😏
 
Hao ndio wabongo kwa hiyo kulia kwa kugalagala ndio umeguswa na msiba.
 
Toka mume wake amefariki huko dubai alikuwepo sasa atakuwa alishalia sana na sasa ameanza kuikubali hali iyo pia ana watoto hawezi kuanza kuzimia zimia kila mara atawaumiza pia watoto.
Mimi mwanangu akiniona nalia huwa anachanganyikiwa anaanza kulia anatapika ,huku akiniomba mama acha kulia atashinda siku nzima amelala pembeni yangu
 
Kumbe Mengi watoto zake hawajampatia wajukuu hata mmoja.Basi si mlaumu Mengi kuzaa na Jack,mitoto mikubwa hata hawana watoto.
 
Na yale madera ndiyo style za Lebanon?
 
Msiwe mnafanya mawazo yenu ndio kila mtu anaona hivyo!
 
JF kama magazeti ya shigongo siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…