Miwani meusi ya Jacky , yazua Utata msibani.

Miwani meusi ya Jacky , yazua Utata msibani.

Midomo yenu jamani.hebu na ww tuambie ya kwako sasa
IMG_20190508_193459.jpeg
 
Aliyoyataka kayapata, Jacky full shangwe, milionea, yuko single madha, bado anawaka, kazi kwenu masharobaro...
 
Imebidi nicheke
Ameambiwa Wamachame watamsuta
Ukiangalia body language hata ya wanaombembeleza wanalazimisha tukio juu ya woga

Miwani, kilio kwa sauti mboni machozi siyaoni au ni mimi macho yangu...
Nilitegemea angekuwa nyambi nyambi lakini yupo poapoa
*** wants to get over it and move on.... It is what it is **** kuna mtu anawaza haya kwa mbaaali
Hasa yule mpambe yaani yuko pale kama bodyguard wako tayari kwa lolote litakalotikea
 
Kila mtu ana mapungufu yake tusihukumu na ku assume
Maisha yanasonga na haya yatapita
 
Kuna msemo wa kizungu usemao " Face is the mirror of mind" , kitu chochote kilicho ndani ya mioyo ya binadamu hudhihirika kupitia sura( macho). Ndio maana hata wana psychology na wapelelezi wengi hutumia macho kama silaha ya kupata ukweli kutokana na Jambo fulani, ingawa inaweze isiwe kwa asilimia zote, Ila macho ya mwanadamu yamebeba mambo mengi yaliyojificha kwenye mioyo yao ; aibu, fedheha, huzuni, furaha, upendo and etc.

Kitendo cha mfiwa jacky mengi , kuonekana akiwa amevaa sunglasses kwenye msiba wa mume wake Tena akiwa Hana huzuni yeyote , kinaashiria ishara ya hatari sana na pengine kuchochea tetesi za mjane huyo kuchepuka na mwanaume mwingine .

Wengi wanahisi pengine alikua anaficha kuonyesha unafiki kwenye sura yake, guilty especially scandal yake ya kutoka na mwanaume mwingine Tena inadaiwa walikua wote dubai .

By the way , kila mtu Ana jinsi ya kuomboleza kifo cha mpendwa wake, wengine sio rahis sana kulia kwa nguvu mbele za watu Ila deep down wanaumia zaidi kuliko hata wanaotoa machozi.

Tukumbuke Jacky amekua akilala na mengi kwa miaka yote hiyo kwenye uchumba mpaka ndoa , sio rahis Kusema kuwa kifo cha mume wake huyo hakijamgusa kwa namna yeyote , hata kama hakuwahi kumpenda mengi , Ila Yule ndiye mume wake na baba watoto wake , kifo chake lazima kitakua kimemgusa kwa namna yeyote ile.

Bwana ametoa na bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

By warumi .
Unavuruga na Kupamba.
 
Mwacheni dada wa watu. Hii kuvaa miwani ya jua misibani mbona kitu cha kawaida hata kwenye misiba yetu kajambanani?!!
 
Huna akili wewe, umeona mwisho wa thread nimeandika Jina gani ? , Sasa hata kama nikija na ID Mia so what ? , we hujitambui Kweli wewe, kwa hiyo unajukuta umeniumbua eeh ? Mxieew
Hivi kwanini Wanawake hampendani?
Wewe , ingekuwa wewe mzee mengi alikufata, ungemkataa dada?
 
Back
Top Bottom