Miwani meusi ya Jacky , yazua Utata msibani.

Yule mzee aliona mbali miaka 100 ahead. Kwa wale watoto mjukuu si leo. Mtoto aliyekuwa na muelekeo wa kuoa na kusettle down ni Mutie.
Bora alivyoamua kujitafutia yeye mwenyewe watoto,yaani Mengi angekuwa baba angu ningegonga kopi za kutosha.
 
kuna wamama ni wataalamu wa kulia na kugaragara misibani,huyo jacky yuko down to earth,what you see is what you get,,huwezi kulia kinafiki kama hujisikii kulia
 
Upuuzi mtupu
 
Huna akili wewe, umeona mwisho wa thread nimeandika Jina gani ? , Sasa hata kama nikija na ID Mia so what ? , we hujitambui Kweli wewe, kwa hiyo unajukuta umeniumbua eeh ? Mxieew
Kumbe na wewe ni wa Kike?
 
Bora alivyoamua kujitafutia yeye mwenyewe watoto,yaani Mengi angekuwa baba angu ningegonga kopi za kutosha.
Ninadhani huko lab aliwaambia wahakikishe ni mbegu za Y zimeingia. Na alioa ili wale twins wawe legitimised kama watoto wa ndoa.
 
[emoji3]unanivunja mbavu boss ila mzee alikosea kuwadekeza watoto
Naamini wangekuwa na familia mzee angekuwa anawasikiliza sana ila kuishi kisela kulimsononesha mzee

Afu huyo wa kiume haishi tanzania mda mwingi yupo marekani
50+ mbegu zinapunguza ubora chances za ku conceive naturally inapungua. Lakini usijaribu kwa bar made au house girl.
 
Wabongo buana...huwa wanajifanaya wanajua kila kitu heheheh!!!

Sisi tuliowahi piga picha na Jac tujiandae tu kuwepo kwa front pages...
 
[emoji3]unanivunja mbavu boss ila mzee alikosea kuwadekeza watoto
Naamini wangekuwa na familia mzee angekuwa anawasikiliza sana ila kuishi kisela kulimsononesha mzee

Afu huyo wa kiume haishi tanzania mda mwingi yupo marekani
Yule alikuwa the true definition ya mummy ‘s boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…