Miwani meusi ya Jacky , yazua Utata msibani.

Umekula mchana?
 
Yeyote asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe mjane mama machache!

Ila kwa jicho yakinifu kwa mliopima mtanielewa
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.
Hapa haitaji mtaji wa kuwezeshwa kuwa adui wa mwanamke mwenzake.
 
Askofu keshasema yule ni mke halali na walishatubu wakarudi kundini. Kuchepuka anachepuka mchungaji sembuse muumini jamanii?
 

Analia kislay queen jamani mambo ya kugaragara ni huko uswazi take away [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mke wa marehemu ana nguvu wala huhitaji mpambe asiyejiweza ni madame Rita

Huyua alia kapishana na gari ya mshahara alijuwa vizee vya kichaga kufa vigumu kumbe mzee hajachelewa mchaga wamanzese mzee Mengi kajiwahia zake
 



Hornet njoo hapa....muwe mnaelewa maana ya neno mume au mke..unalala naye kila sk jaman ushindwe kulia?best sijakuelewa kbs
 
Zari , Jacky bure kabisa, sijawahi kuona mtu kafiwa Mme jeneza linashuka kaburini asidondoshe hata chozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…