Mixed Education System: Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini?

Shule za serikali zinaongoza kwa tabia mbovu kama mimba za utotoni, wavuta bangi, watoto kuharibika kwa mikumbo na makundi, wezi and so on.
Unaweza kukataa hilo?

Hata mimi nasoma hizo za serikali form 2 mwakani na nayaona hayo.

Pia umesema kuitawala nature kivipi? Elezea.
Na Nature ni nini?

Africa ndio bara la mwisho kwenye kila kitu i.e tech, kiuchumi, thinking capacity and so on. sasa unaweza kuniambia lini tumeweza kuitawala nature wakati hata kutumia resources zetu hatuwezi, naomba ufafanue hapa mwalimu.

Mabara ya nje ndo yanaongoza kwa mengi na wao ndo wanaofungiwa ndani kusoma vitabu na how the world works. niambie kwanini wao wanafungiwa ndani ndo wanatuongoza kwa kila kitu na kucontol hiyo nature na sisi tuaozulula mitaani barani Africa kuishia kupelekeshwa na hao kuku wa kisasa according to you. Pia kuishia kuambukizana HIV kutokana na ngono zembe, kulilia ajira baada ya masomo, umalaya, ujinga, majambazi na wezi nk hayo yanasababishwa na nini?

Kustruggle baada ya shule ni kwa asiyejua alienda kufanya nini shule na si vinginevyo.
Nakuuliza swali mwalimu: kwanini ulienda shule?

Pia mwalimu wewe unawezaje kucontol nature? Considering you said that.

Kwako wewe aliyepata div3 ni bora kuliko aliyepata 1 private. That's depends in your perspective.

Pia nasoma hizo za serikali nimeona asilimia 95 ya wanafunzi hawaelewi sababu lugha inayotumika ni kiingereza wanaishia kukalili.

sababu shule ya msingi walitumia kiswahili tupu.
Nimesoma shule za msingi zile za kawaida ila English nimejifunza mwenyewe %85 bila ya kufundwisha.
sasa hapo unakuwa unazalisha wajinga walioadvance sababu wamekalili hawakuelewa.

na kupewa adhabu sababu wamekalili hawakuelewa,
Kumbuka ukielewa hakitoki ukikalili lazima usahau.

Naomba ufafanue na kujibu hayo maswali kama mwalimu uliyesomea ualimu.
 
Safi kabisa Ila Mimi naona hivi

Primary-private

O level-serikali (Ila shule lazima iwe inaeleweka Tena ziwe za bweni)

A level -private(hapa Ni muhimu sana sana sana maana akipotea hapa mtaanza kumpeleka vyuo vya kata)



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia shule za O level za serikali sio nzuri, muda sahihi primary school awe government O level aende private Advance shule za government ziko vz sna
Uko sahihi mkuu.
Kwa mfano nawaonaga wale jamaa primary walisoma government halafu sekondari wakaenda kusoma shule za seminary wako nondo kila upande ukiwagusa kwenye maths wako nondo na ukiwagusa ngeli pia wako nondo,hii inatokana na usimamizi serious wa kule seminary.
Tatizo la kusoma private primary ni kwamba mtoto anakuwa bado hajajielewa vizur na hajui anatafuta nini,sasa baadae wakiingia sekondary ya government anakuwa sawa tu na wengine na kama ataongoza ni ule mwaka wa kwanza tu wa kuelezea definitions mbalimbali.
Nina mfano wa majirani zangu walipelekwa hadi kenya na uganda primary then baadae wakarudi Tz kusoma secondary kwenye shule za kawaida wakawa wanaburuzwa tu mwisho wa siku hakuna walichofanya cha maana zaidi ya kuwa wakalimani kwenye vibarua vya site.
Shule za primary za government hakuna tatizo endapo mwanao utamsimamia awe serious,usitegemee sana walimu.
 
Umefafanua vema
 
Hiyo sio kweli mkuu. hao majirani zako watoto wao watakuwa hawapendi kusoma au ni vilaza inborn.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hakunaga kilaza inborn mkuu.
Mazingira tu ndio humfanya mtu kuwa kilaza.
Labda huyo mtu awe na utindio wa ubongo au taahira hapo sawa tutamuita inborn kilaza
Hiyo sio kweli mkuu. hao majirani zako watoto wao watakuwa hawapendi kusoma au ni vilaza inborn.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hakunaga kilaza inborn mkuu.
Mazingira tu ndio humfanya mtu kuwa kilaza.
Labda huyo mtu awe na utindio wa ubongo au taahira hapo sawa tutamuita inborn kilaza
Possibility zipo nyingi za hao kuwatokea yaliyowatokea.
Hivyo unatakiwa kuegemea kwenye conclusion yenye mashiko zaidi.

Labda hawapendi shule.
Labda hawakuwa wakisikiliza walimu.
Labda wameamua kufeli.
Labda hawawakuona umuhimu wa shule.
Labda walikuwa wakifuata mikumbo hivyo kupelekea kuskip masomo n.k
 
Siyo kweli kwamba hao vijana wote ninaowafaham wawe hawapendi shule,wote wawe walijitakia wenyewe kufeli.
Maisha yanaanzia secondary hiyo mkubali mkatae
 
Kama unataka wakasome vyuo vya nje vinavyoeleweka+ kufanya kazi huko ng'ambo kwenye mashirika yanayoeleweka, wekeza private.... Ila kama unataka aje asomee vyuo vyetu hapa nchini na aajiriwe hapa nchini...angalia uwezo wa mfuko wako unakuruhusu kumsomesha shule za aina gani. Usije kujitesa kumlipia ada ya shule ya msingi Tsh. 2,500,000/= kwa mwaka alafu kesho unamkuta katika vyuo vyetu,na aliyetumia gharama ndogo sana kwenye shule zetu za umma. Kupanga ni kuchagua.
 
umenena vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…