Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Doooh pole sana. Ndio maisha yalivyo na watu kamwe hawawezi kufanana hapa duniani.Nikikumbuka secondary tulivyokua tunaburuzwa na jamaa waliosoma english medium sina hamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doooh pole sana. Ndio maisha yalivyo na watu kamwe hawawezi kufanana hapa duniani.Nikikumbuka secondary tulivyokua tunaburuzwa na jamaa waliosoma english medium sina hamu
Tangazo la biashara hahahahaaaaa. Wewe kaka umetisha
Shule za serikali zinaongoza kwa tabia mbovu kama mimba za utotoni, wavuta bangi, watoto kuharibika kwa mikumbo na makundi, wezi and so on.Ndoto mtoto anaipigania mwenyewe!we toa Basic needs tu!!Hayo ma private ma english media ni kujipatia msongo wa mawazo tu!!!!TULIZALIWA ILI TUTAWALE NATURE NA SIO KUFUNGIWA NDANI KAMA KUKU WA KISASA!!KWANGU MIMI KIJANA ALIEPATA DIV 3 KATA NI BORA KULIKO DIV 1 PRIVATE!KWA EXPOSURE NA EXPERIENCE YA MAISHA NA KU STRUGGLE IN LIFE!!!
Safi kabisa Ila Mimi naona hiviShule ya msingi asome private. Ukiangalia syllabus za primary private zinacover secondary Kwa asilimia zaidi ya 70. Mtafute alie darasa la sita mpe paper za form 2, civics,geography, English, biology uone atakachotenda. Pia secondary hapambani kukariri, lugha anaijua hivyo masomo hayawi magumu sana kwake
Doooh aisee wewe ni shiiiiiidaPrimary msomeshe shule za kawaida, Sekondari mpeleke Private, then A-level atajipeleka mwenyewe shule za serikali baada ya kufaulu vizuri Olevel.
Wazo zuri piaSafi kabisa Ila Mimi naona hivi
Primary-private
O level-serikali (Ila shule lazima iwe inaeleweka Tena ziwe za bweni)
A level -private(hapa Ni muhimu sana sana sana maana akipotea hapa mtaanza kumpeleka vyuo vya kata)
Sent using Jamii Forums mobile app
Au muulize atakuwa mwalimu wa somo gani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa hivi upo Halmashauri gani Kikazi?
Uko sahihi mkuu.Kiuhalisia shule za O level za serikali sio nzuri, muda sahihi primary school awe government O level aende private Advance shule za government ziko vz sna
Umefafanua vemaUko sahihi mkuu.
Kwa mfano nawaonaga wale jamaa primary walisoma government halafu sekondari wakaenda kusoma shule za seminary wako nondo kila upande ukiwagusa kwenye maths wako nondo na ukiwagusa ngeli pia wako nondo,hii inatokana na usimamizi serious wa kule seminary.
Tatizo la kusoma private primary ni kwamba mtoto anakuwa bado hajajielewa vizur na hajui anatafuta nini,sasa baadae wakiingia sekondary ya government anakuwa sawa tu na wengine na kama ataongoza ni ule mwaka wa kwanza tu wa kuelezea definitions mbalimbali.
Nina mfano wa majirani zangu walipelekwa hadi kenya na uganda primary then baadae wakarudi Tz kusoma secondary kwenye shule za kawaida wakawa wanaburuzwa tu mwisho wa siku hakuna walichofanya cha maana zaidi ya kuwa wakalimani kwenye vibarua vya site.
Shule za primary za government hakuna tatizo endapo mwanao utamsimamia awe serious,usitegemee sana walimu.
Hiyo sio kweli mkuu. hao majirani zako watoto wao watakuwa hawapendi kusoma au ni vilaza inborn.Uko sahihi mkuu.
Kwa mfano nawaonaga wale jamaa primary walisoma government halafu sekondari wakaenda kusoma shule za seminary wako nondo kila upande ukiwagusa kwenye maths wako nondo na ukiwagusa ngeli pia wako nondo,hii inatokana na usimamizi serious wa kule seminary.
Tatizo la kusoma private primary ni kwamba mtoto anakuwa bado hajajielewa vizur na hajui anatafuta nini,sasa baadae wakiingia sekondary ya government anakuwa sawa tu na wengine na kama ataongoza ni ule mwaka wa kwanza tu wa kuelezea definitions mbalimbali.
Nina mfano wa majirani zangu walipelekwa hadi kenya na uganda primary then baadae wakarudi Tz kusoma secondary kwenye shule za kawaida wakawa wanaburuzwa tu mwisho wa siku hakuna walichofanya cha maana zaidi ya kuwa wakalimani kwenye vibarua vya site.
Shule za primary za government hakuna tatizo endapo mwanao utamsimamia awe serious,usitegemee sana walimu.
Hiyo sio kweli mkuu. hao majirani zako watoto wao watakuwa hawapendi kusoma au ni vilaza inborn.
Mkuu, vp kuhusu genetics? Genius hufuata genetics kama Einstein, the same applies to "vilaza"...![]()
![]()
![]()
![]()
Hakunaga kilaza inborn mkuu.![]()
Mazingira tu ndio humfanya mtu kuwa kilaza.
Kwani baba yake einsten naye alikuwa genius mwanasayansi?mbona hatambuliki kama mwanae?Baba yake Newton mbona hatumjui?Mkuu, vp kuhusu genetics? Genius hufuata genetics kama Einstein, the same applies to "vilaza"...
Possibility zipo nyingi za hao kuwatokea yaliyowatokea.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hakunaga kilaza inborn mkuu.
Mazingira tu ndio humfanya mtu kuwa kilaza.
Labda huyo mtu awe na utindio wa ubongo au taahira hapo sawa tutamuita inborn kilaza
Sijui...Kwani baba yake einsten naye alikuwa genius mwanasayansi?
Possibility zipo nyingi za hao kuwatokea yaliyowatokea.
Hivyo unatakiwa kuegemea kwenye conclusion yenye mashiko zaidi.
Labda hawapendi shule.
Labda hawakuwa wakisikiliza walimu.
Labda wameamua kufeli.
Labda hawawakuona umuhimu wa shule.
Labda walikuwa wakifuata mikumbo hivyo kupelekea kuskip masomo n.k
sawa...Kama unataka wakasome vyuo vya nje vinavyoeleweka+ kufanya kazi huko ng'ambo kwenye mashirika yanayoeleweka, wekeza private.
umenena vemaKama unataka wakasome vyuo vya nje vinavyoeleweka+ kufanya kazi huko ng'ambo kwenye mashirika yanayoeleweka, wekeza private.... Ila kama unataka aje asomee vyuo vyetu hapa nchini na aajiriwe hapa nchini...angalia uwezo wa mfuko wako unakuruhusu kumsomesha shule za aina gani. Usije kujitesa kumlipia ada ya shule ya msingi Tsh. 2,500,000/= kwa mwaka alafu kesho unamkuta katika vyuo vyetu,na aliyetumia gharama ndogo sana kwenye shule zetu za umma. Kupanga ni kuchagua.
Sawa...Kama unataka wakasome vyuo vya nje vinavyoeleweka+ kufanya kazi huko ng'ambo kwenye mashirika yanayoeleweka, wekeza private