BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Haiba ya Ucheshi na Uzungumzaji ya ndugu yetu Mh.Tundu Lissu inafanya watu wanaoitaka apotee, wazidi kufula kama Vifutu.
Namsihi apunguze Mizaha kwa neema za Mungu. Vinginevyo anafanya mioyo yao izidi kuchefukwa na kubuni kila njia ya kumwangamiza! Pia inawafanya waonyeshe unyama wao.
Hata sisi tunaomwombea aachiliwe anatufanya tuone na tuamini kuwa anafurahia maisha anayoishi.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!