Mizaha ya kukera ya Mh. Tundu Lissu, inafanya watesi Wake wamchukie Zaidi!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,813
Reaction score
3,430
Haiba ya Ucheshi na Uzungumzaji ya ndugu yetu Mh.Tundu Lissu inafanya watu wanaoitaka apotee, wazidi kufula kama Vifutu.

Namsihi apunguze Mizaha kwa neema za Mungu. Vinginevyo anafanya mioyo yao izidi kuchefukwa na kubuni kila njia ya kumwangamiza! Pia inawafanya waonyeshe unyama wao.
Hata sisi tunaomwombea aachiliwe anatufanya tuone na tuamini kuwa anafurahia maisha anayoishi.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
 
Kwa hiyo unataka aongee huku analia
 
Nia yenu aonyeshe sympathy na aingia Kwa magoti au? Akiachia tabasamu huyu ndo katumbo yenu yanavurugika!!
 
Sio mizaha, Lissu amewazidi akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…