Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni matarajio yangu kuwa maoni ya tume iliyoongozwa na jaji warioba ndio yanayotazamwa na kupata mahitaji na maoni ya watanzania na SII maoni chakachuzi ya ccm baada ya maoni ya katiba ya tume ya jaji warioba🤔Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Hehehehehe huyu Mzee Mizengo wanapenda sana kumtumia mambo yakichacha... Tunajuwa.Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Kikosi kazi ni njia ya kuuzunguka mbuyu wakati njia tunaifahamu.Hiki kikosi kazi kinaweza kuwa upotevu wa pesa bure tuu! Kama kweli tunataka katiba mpya basi tuchukue maoni ya tume ya judge warioba maana walishafanya kila jambo!
Huyo Mzee ana roho mbaya kama sura yake,na huu ugonjwa unamchelewesha sana.Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Hebu pitia vizuri hiki ulichoandika ukiwa na kichwa cha busara siyo kichwa cha shetani, uone kama ni sahihi! 🙏🙏🙏Huyo Mzee ana roho mbaya kama sura yake,na huu ugonjwa unamchelewesha sana.
Si tu swala la Muungano pia madaraka ya Rais yanaleta maumivu ya kichwa.Hii nchi imekosa viongozi wenye maono..hii tume ya kazi gani sasa..yani mambo ya tume yamerudi kila jambo tume...
Hili Jambo la kikosi kazi lipingwe kwa nguvu zote, Ni ushenzi na ubatiri mtuTaarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Tulikatae kwa nguvu zote hata Kama kupoteza maisha.Kikosi kazi ni njia ya kuuzunguka mbuyu wakati njia tunaifahamu.
We jamaa mbona unaombea watu kufa? Huna guarantee ya uhai waweza kutangulia wewe.Huyo Mzee ana roho mbaya kama sura yake,na huu ugonjwa unamchelewesha sana.
Ni moja ya mamlaka ya Rais kuteuwa anaoona watamsaidia majukumu ya ki Taifa, Katiba mpya haitatoa mwanya kwa mambo kama haya.Tulikatae kwa nguvu zote hata Kama kupoteza maisha.
Aliwaambia yeye ni Mzanzibari, sidhani kama anayajua matatizo ya ng'ambo hiiHii nchi imekosa viongozi wenye maono..hii tume ya kazi gani sasa..yani mambo ya tume yamerudi kila jambo tume.
Tunahitaji rasmu ya katiba ya warioba.
Naona kinacholeta kigugumizi ni suala la muungano..kumbukeni muungano ni kama koti likikubana unalivua..tuache uhafidhina.
#MaendeleoHayanaChama
Nchi inachewa Sana na wajanja wachache,Kuna haja gani ya kuunda tume mpya wakti ya awali ilishakusanya na jaji warioba,ni upuzi mtupu.Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Nchi hii ngumu Sana ile tume ya WARIOBA ilikuwa na Kazi gani !Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .