Mizengo Pinda aongezwa kwenye Kikosi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.

Pinda.jpg

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akitambulishwa kwenye kikosi kazi cha Rais
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Ni matarajio yangu kuwa maoni ya tume iliyoongozwa na jaji warioba ndio yanayotazamwa na kupata mahitaji na maoni ya watanzania na SII maoni chakachuzi ya ccm baada ya maoni ya katiba ya tume ya jaji warioba🤔
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .

Hiki kikosi kazi kinaweza kuwa upotevu wa pesa bure tuu! Kama kweli tunataka katiba mpya basi tuchukue maoni ya tume ya judge warioba maana walishafanya kila jambo!
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Huyo Mzee ana roho mbaya kama sura yake,na huu ugonjwa unamchelewesha sana.
 
Hii nchi imekosa viongozi wenye maono..hii tume ya kazi gani sasa..yani mambo ya tume yamerudi kila jambo tume.

Tunahitaji rasmu ya katiba ya warioba.

Naona kinacholeta kigugumizi ni suala la muungano..kumbukeni muungano ni kama koti likikubana unalivua..tuache uhafidhina.

#MaendeleoHayanaChama
 
Aliwaambia yeye ni Mzanzibari, sidhani kama anayajua matatizo ya ng'ambo hii
 
Hivi hiyo tume inakusanya maoni kwa watu maalum au inakusanya kwa wananchi je kma ni wananchi ni wapi wanao toa hayo maoni maana sina mtu yoyote ambae katoa maoni yake ninae mfaham zaidi ya hao hao viongozi?
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Nchi inachewa Sana na wajanja wachache,Kuna haja gani ya kuunda tume mpya wakti ya awali ilishakusanya na jaji warioba,ni upuzi mtupu.
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Nchi hii ngumu Sana ile tume ya WARIOBA ilikuwa na Kazi gani !
Na Hawa wazee wapumzike wale pensheni na wajukuu zao wawaache kizazi kipya watoe maoni. Yao kwa mahitaji ya sasa
 
Back
Top Bottom