Hapa lazima uende benki husika ... Range ya mkopo ni kubwa sana .. Mikopo kama 15 - 30 milioni, inashughulikiwa kwa urahisi na saccos na vikoba..... Masharti ya benki kukopa inategemea , unakopa kama mfanyabiashara au mfanyakazi watakuwa na masharti yao. Ambayo si rahisi kuyaweka hapa... Benki zote za biashara zinaweza kutoa mkopo huo.. Swala ni wewe , una qualify vipi, track record yako ya kipesa na unataka kukopa kwa kitu gani, kilimo, biashara mbalimbali.. Ukipitia benki mojamoja utapata picha.... Experience ya mtu mmoja wa hapa jukwani sidhani ni kipimo sahihi