Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Hii komenti inanitafuna aiseh!! KIPINDI kibaya Ndio HIKI tunakoendea!!!dhiki kuu!!
 
Kubalini TU , Corona ilimchukua .
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Hakuna aliyebora mbele ya mungu! Kalete records zote za mortuary nchi nzima tuone na wengine waliofuatana!
Ukishindwa kamfufue uzikwe wewe
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Rejea uzi fulani humu. Mkapa aliuawa ili akiuliwa Dkt Magufuli asipatikane wa ku doubt, ingawa naye Mkapa inasemekana alimtanguliza Nyerere ili wachimbe madini, yaani hivi vitu ni vuruguvurugu tupu
 
Mbona tokea kampeni alikua amechoka sana, alikua anaingia field siku 3 anapumzika wiki!

Hiki ulikoandika hakiwezi kuwa kweli unless ungesema hiyo kumalizwa ilishafanyika kabla ya uchaguzi.
 
Rejea uzi fulani humu. Mkapa aliuawa ili akiuliwa Dkt Magufuli asipatikane wa ku doubt, ingawa naye Mkapa inasemekana alimtanguliza Nyerere ili wachimbe madini, yaani hivi vitu ni vuruguvurugu tupu
Mbona sasa kipindi mnaambiwa JPM Yuko ICU mlikua mnaitetea serikali kwamba JPM ni mzima wa afya? Ameshakufa ndio mnaanza kutafuta Mchawi!! Siku nyingine msiwe wabishi mkiambiwa ukweli.
 
Mbona sasa kipindi mnaambiwa JPM Yuko ICU mlikua mnaitetea serikali kwamba JPM ni mzima wa afya? Ameshakufa ndio mnaanza kutafuta Mchawi!! Siku nyingine msiwe wabishi mkiambiwa ukweli.
Mi sijui nimekuambia rejea news fulani humu jukwaani. Hizo ni dots tu. Ila hakuna mwenye uhakika
 
Alisimamia Majeshi, alikuwa Mwaminifu, royal to Magufuli. Asingeweza kumsaliti. Ilibidi aondoke, aondelewe.
Alikufa baada ya JPM sio before, hta mfugale hao wote walimfuata JPM. Then JPM alishachoka tokea kampeni mtu yeyote mwenye akili alijua Hana siku nyingi.
 
Tuseme ilikuwa Corona... then baada ya kuondoka Magufuli na Corona ndio ikaishia pale..

Mpaka iliporudi tena omicron hivi karibuni, sijui hii itaishia kwa nani, let's wait and see.

Aisee inafikirisha
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Tuungane Kwa pamoja kama Nchi kuhakikisha tunaandika KATIBA mpya.

Jambo Hilo Pekee ndilo jibu na Suluhu ya maswali ya Watanzania na tutanyamazisha ROHO ya visasi.

Ameeeeen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…