BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Wenyewe watatuambia walichomfanya rais wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZILE kauli walizotoa kwa kujiamini vile!Wenyewe watatuambia walichomfanya rais wetu
Tunaambiwa hawakuwa watu wazuri sana.Kuna mtu anaitwa tumia akili, jaribu kufuatilia nyuzi zake!
Ilikua ni mission na ilifanikiwa!
Kwa mujibu wa huyu jamaa hawa viongozi waliobaki ndio wazalendo wapenda nchi.
Makamba amechanganyikiwa.Kwenye uchunguzi waanze na kauli ya Mzee Makamba kuhusu "Watu wazuri hawafi"
MmhOngezea vya Maalim Seif, Kijazi, Mfugale, Mahiga, Kuandikwa na wengi wengine list ni ndefu.
🤔🤔Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Atatuambia tu siku moja. Yeye si hafi kwasababu ni mtu mzuri, hivyo muda bado upoMuulize jeikei
Tag post yakeKuna mtu anaitwa tumia akili, jaribu kufuatilia nyuzi zake!
Ilikua ni mission na ilifanikiwa!
Kwa mujibu wa huyu jamaa hawa viongozi waliobaki ndio wazalendo wapenda nchi.
🤩Kwenye uchunguzi waanze na kauli ya Mzee Makamba kuhusu "Watu wazuri hawafi"
Acha ujinga we hujui kesho yakoSukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?
Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
Aisee Benja umechafukwa sio kawaida!Tena bora walikufa
Hatari sn mkuuAisee Benja umechafukwa sio kawaida!
Kwani hao kina Mfugale na Kijazi walikuwa na nguvu gani kiasi cha kuwa tishio?Vilipangwa, mkakati, inner cycle, watu wa karibu, muhimu wote kuondelewa. Mfugale, kijazi, Waziri wa Majeshi, wote ilibidi wauliwe, Wafe.
Kwani hoa akina soka, jackob wana nguvu gani hadi watekwe? Nyerere alisema ukila nyama ya mtu huachiKwani hao kina Mfugale na Kijazi walikuwa na nguvu gani kiasi cha kuwa tishio?
Mbona CHADEMA walizuiwa maandamano ambayo hao kına Soka walitaka kushiriki wakawmbiwa wanataka kumuondoa rais madarakani?Kwani hoa akina soka, jackob wana nguvu gani hadi watekwe? Nyerere alisema ukila nyama ya mtu huachi