Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Hilo lipo bayana japokuwa halitufungi kuhoji vifo vyao hasa ikizingatiwa vilijawa na utata
"mkapa alipoondoka ghafla tuliuzunika kweli niliumia kweli alikuwa mtu muungwana sana na jirani yangu mzuri mno"hakika niliuzunika sana kilio changu mungu alikijibu kwa mapigo matakatifu "
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Ili watafune hela za umma vizuri. Ili wafisadi na kujenga mabiashara yao watakavyo. Ili wasafiri na kuishi kifalme. Ili ....
 
Mkuu 'BakiliMuluzi'' hapana shaka yoyote juu ya Mahiga, Kijakazi, Mfugale, na hata huyo Kwandikwa kwamba ni gonjwa hilo hilo.
Unachopaswa kujuwa ni kwamba si COVID-19 inayohusika na watu kufaa ila 'complications' zinazoambatana na magonjwa mengine waliyokuwa nayo hao watu kabla ya kuipata COVID-19.
COVID-19 ni kama inakuja kumalizia kwenye matatizo waliyokuwa nayo mwanzo hao watu.
Nikupe mfano: Philip Mpango asingepona kama angekuwa na gonjwa jingine wakati COVID-19 ilipomshambulia ile mbaya.
Pia fahamu kwamba hao watu wote walikuwa wanakutana kwa ukaribu kabisa bila ya kuchukua tahadhari zozote za kinga kwa sababu tu za ujinga wa Magufuli na waliokuwa wakimshauri juu ya gonjwa hilo.

Mwisho, kama unaouwezo wa kumshawishi Samia, jaribu kufuatilia vipimo vya hao marehemu wote kama hawakuwa na tatizo lolote kiafya na wakati wanakufa hawakuwa na COVID-19. Hizi ni taratibu za kawaida kitaaluma mtu anapoaga dunia, sababu husika iliyosababisha kifo huchunguzwa. Sababu zilizotajwa kwa hawa ni mbali na COVID-19, lakini ni lazima watakuwa wamechunguzwa kama walikuwa na COVID-19 walipoaga dunia kwa sababu hizo zilizotajwa.
Hivi mfano nikikutilia sumu kwenye kinywaji kisha nikaenda kumuhonga dokta anyekufanyia postmortem atangaze kuwa ni BP ndio imekuua kuna mtu gani atapinga? Kwenye msiba ni nani ataacha kuja?

Kimsingi watu wametambaa na chaki tu, Covid-19 ilikuwepo na ndio ilitumika kutoa postmortem regardless. Daktari akiohongwa au kuwekewa mtutu shingoni aandike watawala wanachotaka hawezi pinga afterall ndio wanamlipa mshahara wa kuishi hapa duniani na familia yake.
 
Delusional mind from a typical Tanzanian. Kumbuka kuwa JPM na hao wengine walikufa wakati Covid 19 ikiwa imepamba moto.
Kama ilikuwa imepamba moto na wewe ulitakiwa uwe umekufa mkuu kwanini bado upo?

Imagine watu wote waliokuwa close na JPM kama Mahiga, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Maalim Seif, Mipango nae ilikuwa chupuchupu apotee na kisha Magufuli halafu useme eti Delusional mind? Hakuna Forensic department ambayo itakuwa blind kiasi cha kutokuwaza kuwa kuna plot ilifanyika katika hio scenario.
 
Mzee Mkapa umri ulikuwa umemuacha na alikuwa na shida kiafya nadhani tangu enzi za kulazwa Uswisi. Sasa kwa nini wafuatane sidhani kama mimi na wewe tuna majibu ila ijulikane kipindi hicho vifo vilitisha kila mahala, lakini kwa kuwa wao walikuwa maarufu unaweza ona mshangao. Lakini hata Nyerere alifariki miaka miwili tu baada ya kifo cha mama yake. Kifo ni fumbo kwa ufupi.
 
Kama ilikuwa imepamba moto na wewe ulitakiwa uwe umekufa mkuu kwanini bado upo?

Imagine watu wote waliokuwa close na JPM kama Mahiga, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Maalim Seif, Mipango nae ilikuwa chupuchupu apotee na kisha Magufuli halafu useme eti Delusional mind? Hakuna Forensic department ambayo itakuwa blind kiasi cha kutokuwaza kuwa kuna plot ilifanyika katika hio scenario.
Umetaja wale maarufu mkuu. Bado wale wa tiss tunawajuwa tumesoma nawo tuliishi nawo umri mdogo wako fit kisa walikuwa tishio au kwa maneno yako walikatwa na chaki. Inakula kwetu vibaya mno. Wanajifanya mafias ila malipo na hapo hapa duniani tu.. Rip kwao...
 
Inafikirisha sana. !!
 
Hata wale vijana utasema ni walikuwa na Covid-19 dah dunia hadaa kwa kweli
 
Kama ilikuwa imepamba moto na wewe ulitakiwa uwe umekufa mkuu kwanini bado upo?

Imagine watu wote waliokuwa close na JPM kama Mahiga, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Maalim Seif, Mipango nae ilikuwa chupuchupu apotee na kisha Magufuli halafu useme eti Delusional mind? Hakuna Forensic department ambayo itakuwa blind kiasi cha kutokuwaza kuwa kuna plot ilifanyika katika hio scenario.
Siamini kwamba JPM aliondolewa na watu fulani, tulikuwa katikati ya ugonjwa mbaya unaoua. Na yeye aliijua afya yake kwamba ni mgogoro mkubwa.

Matatizo yalipoanza akakimbilia Chato na kukaa kule miezi kadhaa, tulielewa sababu haswa ni nini. Baadae akapata ujasiri wa kurudi Dodoma na Dar wakati namba za vifo zikiwa bado zipo juu, alikuwa jasiri sana akiamua liwalo na liwe.

Uafrika wetu unatupeleka katika kutafuta mchawi lakini kazi ya Mungu haina makosa.
 
Na wale wadini wenzangu tunajiuliza kwanini Marais Wakristo wote walioitawala nchi hii hawako hai lakini Marais Waislam wote wako hai mpaka leo?
Mkapa amekufa akiwa na miaka 82 sio kijana mdogo na alikuwa anakunywa mapombe makali maisha yake yote, kifo chake moyo ulisimama.

JPM alikuwa anakunywa pia siku moja moja na alifanya kazi mpaka saa kumi usiku akipiga na kupokea simu, alikuwa workaholic wa viwango vya kimatafai.

Alimfukuza mkurugenzi wa NSSF Kahyarara baada ya kumpigia simu siku nzima kumbe bosi yupo gesti na mrembo mmoja, akatuma watu wa usalama wakaitafuta simu yake na kugundua yupo Mwanza anakula starehe. Ulikuwa ukipewa namba ya serikali muda wote uhakikishe imejaa chati na inapatikana.

Kufa akiwa na miaka 61 halikuwa jambo la ajabu. Marais wa kiislam hawataki kujitesa kupita uwezo wao.

JK siku ya kuzaliwa kwake anawaita watu kama Joseph Kusaga na kula nao keki huku bendi ikipiga juu ya jukwaa kwao Chalinze. Muda mwingi anatabasamu usoni na akiendekeza masikhara, lazima aishi miaka mingi mtu wa namna hii.

Mzee Mwinyi alitukanwa sana miaka ile akiwa Rais, hakumjibu kwa dharau Mwalimu Nyerere na hata akiwa waziri alijiuzulu mwaka 1975 kwa makosa ya walio chini yake huko Shinyanga, viongozi wangapi kwa sasa wenye ujasiri wa kujiuzulu uwaziri?.

Anazeeka na amani ya moyoni. Marais wa kiislam hawana nia ya kuibadili dunia nzima (to change the world) kama wale wa kikristo wanavyojidanganya wanapopewa madaraka. Hawaibebi dunia nzima mabegani mwao kama marais wakristo.
 
..alivyombabua Lissu watu walishtuka sana.

..tatizo akazidi kuchanja mbuga kwa kujiingiza ktk michezo michafu ya kudukua mawasiliano ya wenzake.

..hebu fikiria kudukuliwa kwa Membe, Mzee Makamba, na Mzee Kinani.

..hivi ukiwadukua hao watatu uwezekano kwamba hujamdukua na Mzee Kikwete ni asilimia ngapi?

..Na wastaafu wangapi ambao wanataka waishi kwa amani, watu wa vyombo vya usalama, etc nao walikuwa wakidukuliwa?

..Inawezekana watu walichoka kuishi kwa hofu, wakaona wajiongeze, wakamtengeneza jamaa, mwisho wa siku parapanda likalia.

Cc MTAZAMO, Nguruvi3
Kuna tetesi alitaka kumdukua CDF aliyepita Gen Mabeyo,MIA ikawagundua mapema sana na karibia kiwake ikabidi JPM anywee!
 
Kumuua mtawala/rais/muamuzi/mfalme ni dhambi kubwa sana mbele za Mungu hata kama mtawala husika ni mbaya kiasi gani mbele ya macho yako/kwa mtazamo wako. Watawala wote chini ya jua huwekwa na Mungu na wana uhusiano wa moja kwa moja na Mungu mwenyewe. Akiwa mbaya kwa tafsiri yako wewe ujue amewekwa makusudi kwa kutimiza kusudi fulani, akiwa mzuri pia kwa namna unavyoona wewe ufahamu pia kawekwa makusudi kwa kusudio fulani. Kamwe usiingilie kati na kumuua rais au mfalme au mtawala eti kisa wewe unaona hafai. Hukumu ya mtawala au kiongozi anaitoa Mungu mwenyewe kwa mfano Mungu alivyomkataa mfalme Sauli, alivyomuhukumu Musa kutoiona nchi ya ahadi, alivyomhukumu muamuzi Samsoni kwa kutoa siri ya nguvu zake kwa Delilah. Ni hatari sana sana sana kwa wanadamu wa taifa fulani kumwangamiza mtawala wao. Laana ile haiepukiki na hiyo damu itadaiwa kwao. Kwa wasomaji wa biblia watakua wanafahamu kisa cha Absalomu na jaribio la kumuua mfalme daudi ili yeye atawale juu ya Israel, yaliyompata nenda kasome kitabu cha 2 cha Samweli sura ya 13 mpaka ya 19. Kama kuna wanadamu walishiriki kumuangusha rais Magufuli basi wajiandae. RIP Dr JPM.
 
Hivi mfano nikikutilia sumu kwenye kinywaji kisha nikaenda kumuhonga dokta anyekufanyia postmortem atangaze kuwa ni BP ndio imekuua kuna mtu gani atapinga? Kwenye msiba ni nani ataacha kuja?

Kimsingi watu wametambaa na chaki tu, Covid-19 ilikuwepo na ndio ilitumika kutoa postmortem regardless. Daktari akiohongwa au kuwekewa mtutu shingoni aandike watawala wanachotaka hawezi pinga afterall ndio wanamlipa mshahara wa kuishi hapa duniani na familia yake.
Dah!

Mkuu 'Extro' naona leo umetoka kivingine, na kweli imenilazimu nicheke.

Hakika, katika mazingira yetu haya tuliyonayo hapa sasa hivi, hilo uliloeleza halishindikani; maana maadili ya kazi na kila kitu havipo tena sehemu yoyote katika jamii yetu. Kila mtu (hapana, nisema baadhi ya watu) sasa anajali fursa kuliko maadili ya kazi anayofanya na ubinaadam kwa ujumla.
Kwa hiyo, kutokana na hali hiyo, inaniwia vigumu sana kukubishia juu ya dhana hiyo uliyoiweka hapa.

Lakini pia ninakuomba ukumbuke, watu kama hao wanaosemwa hapa si watu wa kawaida, ni watu ambao walikuwa na wafuasi, ndugu wenye uelewa wa mambo ambao kama pangekuwepo na mashaka yoyote juu ya vifo vyao, wasingekuwa kimya na kuachia tu yapite.

Huyo mtu mmoja anayehongwa ili apindishe matokeo ya sababu za kifo hana sauti ya mwisho katika swala hilo. Ni mtu anayehojiwa na inapolazimu jopo la wataalam katika eneo hilo huhusishwa kutafuta sababu za kifo.
Kwa hiyo siyo rahisi kama unavyodhani wewe kwamba mtu anahongwa tu halafu kila kitu kinanyooka.

Zaidi ya hayo matokeo ya uchunguzi wa sababu za kifo, ni muhimu pia ufahamu kwamba marehemu kabla ya mauti kumfika huwa amelazwa akipewa matibabu na wataalam mbalimbali katika sababu za ugonjwa wake, na vipimo hufanyika kujua ni ugonjwa gani unamsumbua. Kwa hiyo kuna mtiririko wa kumbukumbu zinazomhusu huyo mgonjwa hata kabla ya mauti hayajamfika.
 
Unayosema ni kweli ila mwisho wa siku kuna level mtu akifikia kwenye uongozi anakuwa kama mali ya State Security (TISS)! Familia inaweza intervene ila ina mpaka wake.

Thats the bad thing sababu deep state security wao ndio wanapanga ataamkia wapi, atazungukia wapi, atalala wapi 24/7! Hata in the event anaumwa, atatibiwa wapi, ataonwa na nani the state security is in deep control. Familia ina nafasi ila not to that extent.
 
Hiki kitu mnachokiita "deep state" kinasingiziwa vitu vingi sana kana kwamba wao wapo kwa maslahi ya mizimu fulani.

Hali inakuwa mbaya zaidi watu wanapokuwa hawana uelewa wa hicho chombo na kuanza kujitungia tu wanayoyafikiri akilini wao wenyewe.
Isitoshe, inaelezwa kana kwamba hiki chombo hakina mipaka ya kazi na uwezo wake!

Ruto (William), hapa jirani yetu aliimba sana nyimbo kuhusu hao "deep state" wa nchini kwake, hadi alipojikuta anaukwaa urais wa nchi kirahisi na kuanza kugeuza nyimbo kuwa za 'mungu' wake aliyewezesha kila kitu. Zile za "deep state" akawa hazikumbuki tena!
 
Ni siasa tu mzee baba
 
Mzee Kaamua atushtue dili maana tumekaa kama mazezeta
 
Back
Top Bottom