..alivyombabua Lissu watu walishtuka sana.
..tatizo akazidi kuchanja mbuga kwa kujiingiza ktk michezo michafu ya kudukua mawasiliano ya wenzake.
..hebu fikiria kudukuliwa kwa Membe, Mzee Makamba, na Mzee Kinani.
..hivi ukiwadukua hao watatu uwezekano kwamba hujamdukua na Mzee Kikwete ni asilimia ngapi?
..Na wastaafu wangapi ambao wanataka waishi kwa amani, watu wa vyombo vya usalama, etc nao walikuwa wakidukuliwa?
..Inawezekana watu walichoka kuishi kwa hofu, wakaona wajiongeze, wakamtengeneza jamaa, mwisho wa siku parapanda likalia.
Cc
MTAZAMO,
Nguruvi3