Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mkakati ulikuwa ukipangwa kwa mda mrefu jinsi ya kumuondoa kwa kuwa aliingilia viongozi wengi mali zao walizoiba kwenye chama..na serikalini..

Lakini pia alitaka wqlioe kodi kwenye biashara zao..Hili liliwauma sana..Ndo maana kila alipotoa maelekezo, walioelekezwa walifanya mambo ya ovyo ili kumchonganisha na wananchi..mafno mauaji mbalimbali..kwqni haya yalifqnyikq bilq maelekezo yake bali alishitua limetokea.

Baada ya kumchonganisha na wanachi wake, wakaona njia bora ya kumuondoa ilikuwa kiwaondoa watu wake wa karibu..ndo wakaanza na Mkapa, wakafuata watu wa karibu yake kama Maalimu .. Kijazi nk..

Baada ya vifo vingi yeye alikaa mda mrefu chato hadi waziri wa nje wa China na Rais wa msumbiji akaja chato. Wakati huo aliishapata taarifa za mipango ya mauaji yake...akatumia watu anao waamini kwenye systwm wakamuaminisha kuwa sasaa kila kitu kikopoa..ndo akarudi..harafu wapangaji wakampangia ziara za morogoro..na dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza..ila nia kagenge kadogo sana akiwemo kiainaainq,ikweta, manyuzi..etc
 
Inafikirisha!
Tuseme ilikuwa Corona... then baada ya kuondoka Magufuli na Corona ndio ikaishia pale..

Mpaka iliporudi tena omicron hivi karibuni, sijui hii itaishia kwa nani, let's wait and see.

JPM aliona mbali, hauwezi kuishinda Corona by lockdowns, chanjo pekee kuwafungia watu.

Virus anabadilika kila baada ya muda fulani, lakini pia natural immune system ya kila mtu, mwenye afya binadamu inapambana na kuua virus, bacteria.

Ni hivi kuna polisi,majeshi,vikosi vya ulinzi na usalama ndani ya mwili wako. Vinapambana kukulinda kila siku.
 
Unadhani Mungu aliwapa heshima ya Urais kama tulivyowapa sisi?
Wale ni wananchi tu na wananchi mamia kwa maelfu wanakufa wakiongozana kila siku.


Usisthue kifo cha mtoto mdogo (innocent baby) cha mtoto wa dada yako au jirani yako ushtuke vifo vya wale wazee wenye kauli za kishenzi!
Mara kaa nyumbani na mavi yako
Mara mwingine awaite binadamu wenzake wapumbavu
Mara nitaanza kupiga shangazi zako
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Nakuomba ufatilie documentary ya vifo vya ndugu wawili waliokuwa na nguvu kubwa marekani mmoja akiwa Rais huku kaka mtu akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (The Kennedy Brothers) kisha utagundua kuna mambo huwa hayatokei kwa bahati mbaya
 
Tuseme ilikuwa Corona... then baada ya kuondoka Magufuli na Corona ndio ikaishia pale..

Mpaka iliporudi tena omicron hivi karibuni, sijui hii itaishia kwa nani, let's wait and see.
Wapo viongozi waliofariki hata baada ya Magufuli, yote juu ya yote baada ya mwendazake tahadhari na mikakati ya kujikinga zidi ya Corona iliboreshwa na kufuatiliwa zaidi.
Job within the cycle will just stand as myth as conspiracy at large.
 
Back
Top Bottom