ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Nimefuatilia mjadala, na nashawishika kusema ni Sexless ndie bila shaka amemwelewa mleta mada vizuri sana kwamba they're in denial! Nami nasisitiza, ni upumbavu hata kufikiria let alone kuamini eti JPM kauawa!! Mtu kaanza kuumwa moyo hata kabla hajaingia kwenye siasa halafu leo mtu uamini kuna mkono wa mtu!! Yaani watu kwa ujinga tu wanataka kuaminishana JPM alikuwa threats kwa watu na ndo maana wamemwondoa!!
Vipi kuhusu vifo vya wengine ndani ya miezi mitatu. Sasa hivi hakuna kiongozi anyekufa na Corona, ugonjwa wa moyo, ugonjwa wowote.