ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Nani amesema habari za lockdown?! Hizo habari za lockdown zilikuwa ni propaganda za wafuasi wa Magu lakini majority wala hawakuwa wakizungumzia lockdown bali
walikuwa wanaitaka serikali kuwa serious na tahadhali! Lakini badala ya serikali kuonesha u-serious, ikawa mara maombi, mara nyungu, mara kikombe cha Madagascar; yaani tafrani! Kama hiyo haitoshi, rais aka-discredit mashine za kupimia ugonjwa, na dada wa watu aliyekuwa anaongoza kitengo, akatumbuliwa eti anatumika na mabeberu! na kuanzia hapo hatukuambiwa tena kuhusu takwimu za status ya ugonjwa!
Wewe unafikiri ni njia gani unaweza kushinda hichi kirusi?
Pia watu waendelee kupata kipato.