Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Ukweli mchungu ni kwamba kwa sasa kukishinda kirusi ni ngumu kwa sababu wananchi walishajazwa ujinga kwa kiasi cha kutosha na wakajazika! Na hili utaliona hata kwenye chanjo ambazo nazo wale wale waliokuwa wanapinga uwepo wa corona ndo hao hao wakaendeleza propaganda kuonesha ni namna gani hizi chanjo zilivyo na nia mbaya kwetu, na matokeo yake, hata dozi 1M tumeshindwa kuzimaliza!!

Na kwavile tumeshajazwa ujinga, njia za "kidemokrasia" katu haziwezi kusaidia na kwa bahati mbaya ubabe nao haufai kutumika!! Kwahiyo hamna chochote cha maana kinachoweza kufanyika zaidi ya kuendelea kuwakumbusha wananchi kwa msisitizo and with seriousness kwamba this's real!

Magonjwa mengi yametokea duniani. Yakaisha.

Tupunguze hofu, tualingalie afya zetu, tunakula mboga, matunda, tunafanya mazoezi, hatuna stress nyingi kichwani kwetu
 
Magonjwa mengi yametokea duniani. Yakaisha.

Tupunguze hofu, tualingalie afya zetu, tunakula mboga, matunda, tunafanya mazoezi, hatuna stress nyingi kichwani kwetu
Hupaswi kusikilizwa kwa sababu wewe umechanja hata kama utasingizia umechanja kwa sababu ya kusafirisafiri lakini haiondoi ukweli kwamba UMECHANJA, na hupaswi kusikilizwa kwa hayo uliyosema!!! Lakini kwa upande mwingine, issue sio magonjwa bali pandemic disease! Ndo maana UKIMWI pamoja na kutisha kwake kote bado hakuna popote duniani walipozuia wananchi wa mataifa mengine au kuzuia watu kusafiri kwa sababu AIDS isn't pandemic disease!
 
Hupaswi kusikilizwa kwa sababu wewe umechanja hata kama utasingizia umechanja kwa sababu ya kusafirisafiri lakini haiondoi ukweli kwamba UMECHANJA, na hupaswi kusikilizwa kwa hayo uliyosema!!!

Tulia,andika kwa utulivu, ueleweke. What is your point?
 
Tulia,andika kwa utulivu, ueleweke. What is your point?
The point is clear unless you don't want to accept it!

1. Umechanja
2. It's not about disease but pandemic disease!

Sasa huwezi kusema watu waache hofu wakati wewe tayari umeshachanja lakini unataka kuaminisha watu kwamba umechanja kwa sababu tu ilikuwa lazima uchanje ili kupata uhalali wa kusafiri lakini hilo haliondoi ukweli kwamba umechanja, na unaowaambia wasiwe na hofu hawajachanja!

Kwamba, duniani magonjwa mengi yamepita, yes, upo sahihi lakini kama nilivyosema issue sio ugonjwa bali ugonjwa wa mlipuko na unaonea kwa kasi! Ni kutokana na hilo ndo maana ingawaje malaria inaua sana lakini huwezi kukuta taifa lolote likichukua extra-ordinary measure kama lockdown or distancing ili kudhibiti malaria kwa sababu malaria isn't pandemic! Ndo maana pamoja na UKIMWI kutisha kote, lakini ndege hazikuwahi kufuta safari zake duniani eti kisa kuna UKIMWI kwa sababu AIDS isn't pandemic disease!! Kwahiyo ni sawa kabisa magonjwa mengi yamepita lakini mengine hayakuwa pandemic, na yalipotokea pandemic diseases, hata hayo yaliyopita hali ya tahadhali ilichukuliwa kama ilivyo sasa!
 
Hupaswi kusikilizwa kwa sababu wewe umechanja hata kama utasingizia umechanja kwa sababu ya kusafirisafiri lakini haiondoi ukweli kwamba UMECHANJA, na hupaswi kusikilizwa kwa hayo uliyosema!!! Lakini kwa upande mwingine, issue sio magonjwa bali pandemic disease! Ndo maana UKIMWI pamoja na kutisha kwake kote bado hakuna popote duniani walipozuia wananchi wa mataifa mengine au kuzuia watu kusafiri kwa sababu AIDS isn't pandemic disease!

Let me break it down fo you.

Ni hivi hata tukiamua kuwachanja watu wetu wote inachukua miaka miwili, mitatu. Kirusi tayari kitakuwa kimebadilika.

Itabidibi upate chanjo mpya. Kila mwaka, miezi sita.
 
The point is clear unless you don't want to accept it!

1. Umechanja
2. It's not about disease but pandemic disease!

Sasa huwezi kusema watu waache hofu wakati wewe tayari umeshachanja lakini unataka kuaminisha watu kwamba umechanja kwa sababu tu ilikuwa lazima uchanje ili kupata uhalali wa kusafiri lakini hilo haliondoi ukweli kwamba umechanja, na unaowaambia wasiwe na hofu hawajachanja!

Kwamba, duniani magonjwa mengi yamepita, yes, upo sahihi lakini kama nilivyosema issue sio ugonjwa bali ugonjwa wa mlipuko na unaonea kwa kasi! Ni kutokana na hilo ndo maana ingawaje malaria inaua sana lakini huwezi kukuta taifa lolote likichukua extra-ordinary measure kama lockdown or distancing ili kudhibiti malaria kwa sababu malaria isn't pandemic! Ndo maana pamoja na UKIMWI kutisha kote, lakini ndege hazikuwahi kufuta safari zake duniani eti kisa kuna UKIMWI kwa sababu AIDS isn't pandemic disease!! Kwahiyo ni sawa kabisa magonjwa mengi yamepita lakini mengine hayakuwa pandemic, na yalipotokea pandemic diseases, hata hayo yaliyopita hali ya

Dada yangu,mke wangu wamekataa chanjo. Ni hivi tusivikuze vitu sana.

Ni ugonjwa, tuchukue tahadhari.

tahadhali ilichukuliwa kama ilivyo sasa!
 
Huwa wanapumzika? Yule dogo aliyekufa 4 yrs ago na kuibuka majuzi akiwa hana ulimi kadai hakuna kupumzika huko [emoji12][emoji12]
Wape tamaa wanaolia Na magu , labda naye yupo amekatwa ulimi 😛😛😛😝😝
 
Back
Top Bottom