Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Ili tuende sawa na mjadala huru, tujibu swali hili. Kwanini binadamu huzaliwa, huishi kwa kipindi Fulani na Kisha kufa?

Kujibu swali lako, sisi kama binadamu tumetengeza dini.

Ukifanya vizuri unaenda peponi, vibaya motoni.

Unaishi kusaidia ndugu zako, wazazi, watoto, ndugu, jamaa, rafiki.

Utakufa ukitenda mema, Mungu mwenye upendo atakupa nafasi sehemu nzuri kutulia.
 
JPM aliona mbali, hauwezi kuishinda Corona by lockdowns, chanjo pekee kuwafungia watu.

Virus anabadilika kila baada ya muda fulani, lakini pia natural immune system ya kila mtu, mwenye afya binadamu inapambana na kuua virus, bacteria.

Ni hivi kuna polisi,majeshi,vikosi vya ulinzi na usalama ndani ya mwili wako. Vinapambana kukulinda kila siku.
Belarus wakiendelea na maisha bila lockdown,Belarus ni ulaya
 
Ukielewa kifo cha tupac shakur utaelewa cha Notorious BIG
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Tena baada ya kifo cha kwanza, timu msoga ikazusha eti kifo cha pili kamuondoa ili agombee term ya tatu (kumbukeni nuzi zililetwa jukwaani). Mkakati ilikuwa kumpotezea uelekeo kifo cha pili awe busy kujihami huku wanamalizia mipango
 
Tuseme ilikuwa Corona... then baada ya kuondoka Magufuli na Corona ndio ikaishia pale..

Mpaka iliporudi tena omicron hivi karibuni, sijui hii itaishia kwa nani, let's wait and see.
Corona ilikuja kuwaondoa watu maalumu
 
Sukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?

Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
Wewe size yako ni haya
Screenshot_20211116-153331.jpg
 
Mkakati ulikuwa ukipangwa kwa mda mrefu jinsi ya kumuondoa kwa kuwa aliingilia viongozi wengi mali zao walizoiba kwenye chama..na serikalini..Lakini pia alitaka wqlioe kodi kwenye biashara zao..Hili liliwauma sana..Ndo maana kila alipotoa maelekezo,,walioelekezwa walifanya mambo ya ovyo ili kumchonganisha na wananchi..mafno mauaji mbalimbali..kwqni haya yalifqnyikq bilq maelekezo yake bali alishitua limetokea.Bqada ya kumchonganisha na wanachi wake,,wakaonq njiq bora ya kumuondoa ilikuwa kiwqondoa watu wake wa karibu..ndo wakaanza na mkapa, wakafuata watu wa karibu yake kama maalimu ..kijazi nk..Baada ya vifo vingi yeye alikaa mda mrefu chato hadi waziri wa nje wa China na Rais wa msumbiji akaja chato.Wakati huo aliishapata taarifa za mipango ya mauaji yake...akatumia watu anao waamini kwenye systwm wakamuaminishq kuwa sasaa kila kitu kikopoa..ndo akarudi..harafu wapangaji wakampangia ziara za morogoro..na dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza..ila nia kagenge kadogo sana akiwemo kiainaainq,ikweta,,manyuzi..etc
Umeshinda mkuu like nyingi kwako hao wachovu hata like hawana
 
Back
Top Bottom