Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Kamua nyeto kama kawaida ila punguza mara za kuifanya, na usiifanye kwa kutumia pono
 
Sijambo sana, ingawa roho inaniuma sana skuizi kila nikizoza nakataliwa. Eti mnataka hadi nibadilishe liavatar langu lenye sura nzito.....[emoji29] [emoji29]
usibadilishe wenye hiyo sura anapendwa maana anajua kuhonga [emoji23] [emoji23]
 
Kama unataka kuacha punyeto. Piga kutwa mara tatu asubuhi mchana na jioni halafu amka saa sita usiku piga punyeto mara mbili. Fanya hivyo kwa muda wa miaka 7.
Zingatia hiyo dozi
 
Hee jamani[emoji27]
 
Upo vizuri mkuu
 
Mkuu sio peke yako hilo ni tatizo... naweza kutoka sasa hivi mzigon na msichana akiondoka naingia mzigoni yani tabu tupu kuacha nayo imekuwa ngumu
 
Hii ndo tiba asee kijana hii comment itoe foto ubandike geto itakusaidia kila unapohisi kupiga nyeto
 
Unaamua kuacha nyeto uutafute ugonjwa usiokua na dawa, nikutakie kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…