Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Wewe ni mwanaume?

Kama haujawahi hizi mbinu ulijaribu kwa nani?

ndio maana hata dawa zinajaribiwa kwa viumbe wengine kama sokwe.. na wengine.. ila hii sio dawa useme inafanyiwa majaribio ni USHAURI TU niliutoa kwa kadri ELIMU yangu ilivyoniruhusu
 
Tangu nimeoa nimehacha maana nilikua nshakua teja wa nyeto nakumbuka kuna siku nilikua napiga nyeto nikiwa kwenye daladala bahati nzuri skufanikiwa kumimina mzigo .sjui ningetembea vip siku nyingine nikawa napiga nmekaa kwenye kitanda kumbe jamaa zangu wananipimia dirishani walicheka sana .ndo nikastuka mpaka leo wife akisafir wiki moja lazma nipige
 
hahahah duuh.. hako kamchezo kanawatesa wengi.. pole mzee
 
Hakuna njia rahisi ya kuacha puchu zaidi ya kujua dhambi za kupiga puchu (hofu ya mungu) mengine tutadanganyana kuna watu mpaka wameathirika na puchu ila bdo hawaachi tumuombe mungu sana ktk hili
 
Ngoja na mim nijaribu,maana huwa nikiacha napiga mabao sana ndotoni.
 
Hakuna njia rahisi ya kuacha puchu zaidi ya kujua dhambi za kupiga puchu (hofu ya mungu) mengine tutadanganyana kuna watu mpaka wameathirika na puchu ila bdo hawaachi tumuombe mungu sana ktk hili

wanaweza kuacha if wakiamua kuacha... ila kuacha ni kazi sana
 
Hakuna njia rahisi ya kuacha puchu zaidi ya kujua dhambi za kupiga puchu (hofu ya mungu) mengine tutadanganyana kuna watu mpaka wameathirika na puchu ila bdo hawaachi tumuombe mungu sana ktk hili
Sasa kama kaathirika anawezaje kuendelea nayo ilhali kifanyio hakifanyi kazi. Halafu umuombe Mungu kuacha nyeto halafu unaenda kuzini? Naona kama mawazo yako yana walakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…