Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na uhaba wa pesa nimegundua mbinu rahisi ya kujiridhisha kimapenzi (pasipo gharama wala hofu ya magonjwa nyemelezi). Ila nimekuwa addicted kiasi haipiti siku bila kujichua. Nifanyeje ili niache?
Pole sana mkuu,tafuta kaswala kadogo kasikopenda pesa huwe unasuza rungu,mambo ya "Kukwea Mnazi" ni hatari kwa afya yako!!
 
Soma vitabu vya MUNGU ili ujikumbushie kuwa yupo wa kuogopwa yupo ambaye ataleta hesabu ya mambo yote yaliyofanywa gizani na nuruni
 
Ni utani tu mkuu wala sio mpenzi wa hizo hizo movie.
Haahahah nadhani hujawa na lengo la kuacha mkuu, maana umevutiwa na website za pornograph,,,,,me nashauri angalia kwanza cku ukitaka kuacha kwa moyo wako wote ufuate ushauri!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…