King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Pole sana mkuu,tafuta kaswala kadogo kasikopenda pesa huwe unasuza rungu,mambo ya "Kukwea Mnazi" ni hatari kwa afya yako!!Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na uhaba wa pesa nimegundua mbinu rahisi ya kujiridhisha kimapenzi (pasipo gharama wala hofu ya magonjwa nyemelezi). Ila nimekuwa addicted kiasi haipiti siku bila kujichua. Nifanyeje ili niache?