Nini pendekezo lako mkuu
Sent using
Jamii Forums mobile app
Punyeto zao la sababu mbili.
1.sababu ya ndani - nafsi.nafsi siku zote inatuvutia katika mambo mabaya na maovu na ya matamanio.
2.sababu za nje.kama vile mitandao mbali mbali na marafiki tunaokaa nao katika kazi na shughuli mbali mbali.
Sasa ukiwa unaepuka sababu za nje tu ambazo nimezitaja pasi na kuepuka sababu za ndani basi jua hiyo vita hutoishinda kwa sababu bado sababu ya ndani haukuirekebisha iko vile vile hivyo ukiwaepuka marafiki utakuta nafsi inakuvuta tena upoge hata kama uko na watu wazuri.
Ukiuza smartfone yako utajikuta unapiga nyeto kwa kumvutia hisia mwanamke ambae ulimtizama katika porn fulani au barabarani mradi tu utapiga.
Ukifuta websites utajikuta unazisownload tena kwa sababu nafsini kwako bado yule mshawasha yupo anakushawishi.
Ukisema ufanye kazi ngumu utajikuta baada ya kazi unajipigia kwa sababu nafsini bado mshawasha yupo na hizo kazi huwezi kuzifanya 24hours kwa siku.utafanya lakini kuna mda utakuwa free yu na hapo ndo nafsi inakuambia twende kaaaaaazi unapiga zaidi ya siku zote za nyuma.
Lakini ukifanikiwa kumshinda bwana nafsi huyo basi unaweza ukaambatana na zile sababu za nje ukawa hujaziacha na bado ukawa haupigi punyeto.
Kumbuka : kila kitendo chako ni nguvu ya wazo la fikra ya nafsini kwako,huwezi kukiacha kitendo ikiwa kama chanzo cha kitendo hicho(fikra)hujakiacha