Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Yakiisha mkuu kaz iko pale pale... hiv hujui kuna watu had wana familia kabisa ila bado wanapiga puchu ebu vuta picha ukiwa na majukum ya familia kuna meng unapitia na ukite kijimshahara panya majukum tembo akil inachojaje eh ila bado atawaza kupiga nyeto!!! Mi nadhan dawa ni kufanya maamuzi tuu sahihi ktk akili mkuu.
Kama mtu ana mke inakuwaje sasa,ajichue?
 
Ukiacha nyeto unapiga papuchi,ubaya wa papuchi n maradhi,aisee ukipata HIV utajutia......na hii hutokea pale unamiliki demu ambaye hakupi nyuchi ovyo ovyo....yaan anakupa Mara mbili kwa mwaka tu ,hapa ndio shida,ukiwaza kutafuta mchepuko kuna hatari ya ukimwi,ukiwaza nyeto madhara yake n hatari.....yaan unakuwa dillema ila hakuna jambo lisilo na faida hata kidogo.....pamoja na nyeto kuwa na madhara ila ina faida pia fln fln.....mm nilishaacha lkn saiv....ila kula nyuchi ukimaliza utajutia tu hasa kama umekula pekupeku maana wengine condom hatuwez,ukipiga nyeto utajutia pia baada ya kumaliza.....labda suruhisho n kuoa tu mke bhc,shida n pale haujawa tyr kuoa,mfano unasoma au mambo tu hayajakaa fresh.....


Ndukiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa pekee ni kufanya kazi nzito za kuuchosha mwili
Nilikuwa kozi jeshini mara hadi mwezi wa pili inshu haisimami nikahisi nimekuwa hanisi,nilipata mawazo ukabidi niulize wenzangu mana haikuwa kawaida yangu.

Akanijibu rafiki yangu wa kombania ya demo A coy,akaniambia ni shuruba aka msoto ndo unatufanya mashine isisimane,daah nikakubali mana jalamba lilivyokuwa utazani umempa mimba mtoto wa mkuu wa kikosi na hali bado yupo masomoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini pendekezo lako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Punyeto zao la sababu mbili.

1.sababu ya ndani - nafsi.nafsi siku zote inatuvutia katika mambo mabaya na maovu na ya matamanio.

2.sababu za nje.kama vile mitandao mbali mbali na marafiki tunaokaa nao katika kazi na shughuli mbali mbali.

Sasa ukiwa unaepuka sababu za nje tu ambazo nimezitaja pasi na kuepuka sababu za ndani basi jua hiyo vita hutoishinda kwa sababu bado sababu ya ndani haukuirekebisha iko vile vile hivyo ukiwaepuka marafiki utakuta nafsi inakuvuta tena upoge hata kama uko na watu wazuri.

Ukiuza smartfone yako utajikuta unapiga nyeto kwa kumvutia hisia mwanamke ambae ulimtizama katika porn fulani au barabarani mradi tu utapiga.

Ukifuta websites utajikuta unazisownload tena kwa sababu nafsini kwako bado yule mshawasha yupo anakushawishi.

Ukisema ufanye kazi ngumu utajikuta baada ya kazi unajipigia kwa sababu nafsini bado mshawasha yupo na hizo kazi huwezi kuzifanya 24hours kwa siku.utafanya lakini kuna mda utakuwa free yu na hapo ndo nafsi inakuambia twende kaaaaaazi unapiga zaidi ya siku zote za nyuma.

Lakini ukifanikiwa kumshinda bwana nafsi huyo basi unaweza ukaambatana na zile sababu za nje ukawa hujaziacha na bado ukawa haupigi punyeto.

Kumbuka : kila kitendo chako ni nguvu ya wazo la fikra ya nafsini kwako,huwezi kukiacha kitendo ikiwa kama chanzo cha kitendo hicho(fikra)hujakiacha
 
Natamani kurudi hata enzi zile nikienda kuoga napiga zangu nyeto na sabuni. Siku hizi nikienda chooni sipigi nyeto kabisa ila nikingia kitandani napiga nyeto kavu kavu halafu ni mda mrefu sana siezi acha japo sipendi.

Natamani kuacha nyeto ina madhara makubwa sana kiafya na kiimani

msaada hata wa kimawazo
 
Kama mm kbsa Hahaa nyeto ya kitandan tam kinoma yan
natamani ata enzi zile nikienda kuoga napiga zangu nyeto nasabuni siku izi nikienda chooni sipigi nyeto kabisa ila nikingia kitandani napiga nyeto kavu kavu afu ni mda mrefu sana siezi acha japo sipendi natamani kuacha nyeto inamazala makubwa sana kiafya na kiimani
 
Back
Top Bottom