Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

hii iliwahi nikuta mkuu,kipindi cha 6wk,yaani unakaa na serengeti hapa na hapa lakini holla,kuwauliza wana hali ni ileile angalau nikapata faraja
 
Wengine tumeshaathiriwa na hiki kitendo tukiona tu sabuni tunasumamisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuacha unatakiwa uamue kwa dhati toka moyoni na ukichukie hicho kitendo. Ainisha vichocheo vyoote vinavyokupelekea wewe kunyetuka, kichocheo kikubwa ni picha za ngono, acha kabisa kuziangalia, usitembelee tovuti za ngono, futa picha na video zote za ngono kwenye simu na computer yako kama unazo, unfollow page zote za instagram au facebook ambazo zinapost picha za utupu au nusu utupu, hiki nacho ni kichocheo,

ondoka kwenye magroup yote ya whatsapp/telegram yenye mlengo wa kingono ngono. Jielimishe kuhusu madhara ya kunyetuka, hii itakusaidia kama reminder kila unapotaka kufanya hicho kitendo, pia epuka kukaa mpweke, jishughulishe au fanya mazoezi, kwa kifupi mind yako iwe occupied na vitu vingine isikae idle bila kitu productive cha kufanya,

kuoga maji ya baridi pia kunasaidia kupunguza hamu ya kufanya ngono just incase ukizidiwa sana, lingine tafuta mpenzi wa kufanya nae. Acha nyeto, madhara yake ni makubwa kuliko faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii iliwahi nikuta mkuu,kipindi cha 6wk,yaani unakaa na serengeti hapa na hapa lakini holla,kuwauliza wana hali ni ileile angalau nikapata faraja
Inaonekana ulijishangaa sana na kuhisi labda umeshapata tatizo!

[emoji2398]ᡃʳᡉᡉᡐ [emoji769]
 
Mlio acha kupiga nyeto, mlitumia njia gani? Hili swala limekuwa majanga sana kwa watu wengi na mimi binasfi.

Ukiangalia na cost za kupata papuchi zimekuwa juu sanaa, basi ni shida tupu.. na hata ukipata papuchi, huwezi kupata mchezo ontime.
 
Mlio acha kupiga nyeto, mlitumia njia gani? Hili swala limekuwa majanga sana kwa watu wengi na mimi binasfi.
Pole sana,Kuwa ni mwenye kufanya mazoezi ama kufanya kazi za mikono kila mara hisia zinapokuja,kwahilo utafanikiwa
 
😝😝😝😝 pole mzeee....
Ingiza mkoko ndani mzee baba.
 
Pole sana,Kuwa ni mwenye kufanya mazoezi ama kufanya kazi za mikono kila mara hisia zinapokuja,kwahilo utafanikiwa
Sasa mchizi yupo geto saa nane usiku anaangalia porn, hisia kazileta mwenyewe, zimekuja, ataenda kufanya mazoezi gani muda huo ?
 
Mlio acha kupiga nyeto, mlitumia njia gani? Hili swala limekuwa majanga sana kwa watu wengi na mimi binasfi.

Ukiangalia na cost za kupata papuchi zimekuwa juu sanaa, basi ni shida tupu.. na hata ukipata papuchi, huwezi kupata mchezo ontime.
Sure mkuu kama mimi hapa nna mahusiano na dame wangu yupo karibu tu ila nna karibia miezi miwili sijaona papuch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…