Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

MBINU ZA KUACHA PUNYETO AMBAZO MIMI NILIZITUMIA (YEAH NILIKUWA NAPGA PUNYETO NA UKWELI NI KUWA WANAUME KARIBU WOTE HUPITIA HATUA HII, WANAWAKE PIA WANAPGA SANA PUNYETO ILA WANAONA AIBU KUSEMA, TENA WANAWAKE NI RAHS SANA KUUZOEA HUU KWA SABABU LICHA YA KWAMBA WAPO WENG LAKN WAKIWA NA HSIA NI NGUMU KWAO KUMTAMKIA MWANAUME, ANASUBRI ATONGOZWE)

SASA MBINU ZA KUACHA PUNYETO:
1. Kuwa na mwanamke ambaye upo karibu naye ambaye utakuwa una uhakika wa kupata huduma hyo muda wowote unaohitaji (ikiwezekana oa).
2. Epuka kukaa bila kujishughulisha muda mwingi (kukaa bila kazi kwa kawaida ni rahs kubanwa na mawazo ya ngono)
3. Epuka kuangalia picha/video za ngono na kusoma story zinazohamasisha ngono
4. Epuka magroup ya whatsap ya picha/video/stori za ngono
5. MRUDIE MUNGU
 
Kwann uache puchu kwann!!!! Sitakaa nimuelewe anaesema ina sijui madhara...
 
Kwanza epuka porn....halaf uanze kwa kujipa interval mfano unasema sasa nakaa wiki 2 bila kupiga then mwezi mwisho unaacha kbs...na muhimu uwe na mpenzi ambae anakupa huduma angalau hata mara 1 kwa wiki
Kuna watu wameoa lakini nyeto kama kawa
 
Sio kitu kizuri hata kidogo.......

Maana ukipiga nyeto unatafuta joto kwa msuguano wa mkono na jebele, na ukishapata joto tu unamwaga hapo hapo...

Hivyo basi akili inakua tayari imeshajitwin kwamba jebele likionja joto tu wazungu hao!!!

Sasa itakapotokea kwa bahati nasibu ukatunukiwa kibumbu chenye joto la asili, utakavyo chovyo tu jebele wazungu nao watatoka dk 0......

Hebu fikiria pindi utakavyokua umelala na mkeo unashindwa kufaidi uzuri wake eti kisa ulikua umekubuhu kujipa raha kwa mkono!!!!

Jaribu kuwaza pindi nitakapokua namhudumia mkeo kwa mkong'oto wa maana ambao wewe umeshindwa kumpa.

Waza pindi utakapotumia pesa nyingi kujitibu tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume na bado usione hata chembe ya unafuu...

Ukitaka uache hii kitu Jaribu kuwaza zaidi madhara yake na aibu utakayokumbana nao, hapo lazima uache...

Lakini acha udomo zege tafuta mtoto utafune kibumbu kwanza uone raha yake!!!!

Ila usisahau watoto wa kike tumeumbiwa sisi, na wao wako wengi kuliko sisi kwa hiyo unapopiga punyeto unaidhulumu nafsi yako mwenyewe***
 
Kiukweli nyeto ni tamu sana ila ni haramu na inagharimu sana kuacha kwa wale waliokubuhu kama mimi,
Binafsi ninazaidi ya 10yrs nimejaribu kuacha nmeshindwa hii kitu ni tamu jaman sijui ni kwangu tu embu nambien ndugu zang nifanye nn ili niache, ni tamu lakin nata kuiacha kabisa, bora hata ningekuw nmefundishwa na mtu ningemtafuata anifundishe kuiacha, najuta sana kuijua mwenyew nakosa hata wa kumlaumu.
Msaada ndugu zangu nataman mwaka huu iwe ndo mwisho wa Mimi kupiga punyeto.
Eti 10years miaka hiyo tuu?
Ngoja nikae kimya kwanza maana [emoji85] [emoji85]
 
Nina mwaka wa 11 sasa napiga punyeto na sijui lini ntaacha sioni dalili za kuacha kipindi iki japo kuna wakati nakaa adi mwezi bila kupiga sababu za kupata dem zaid ya mmoja, pia kuna kipindi napiga nyeto adi mara mbili kwa siku
11 yrs[emoji12] [emoji12]
 
Nimepiga saana puchu daah yani hata kipindi nilichokua nna mpenzi ni lazima nipige puchu ila kwa sasa nayaona madhara yake aisee! Ni wiki sasa tangu niamue kuachana na mchezo huu wa kipuuzi nategemea sinto kuja piga teena puchu kwahelini makamanda kwahelini chaputa
Hahahaha mkuu wiki tu unaanza kutoa ushuhuda. Subiri angalau mwezi mmoja hivi ndo utuletee mrejesho
 
Kiukweli nyeto ni tamu sana ila ni haramu na inagharimu sana kuacha kwa wale waliokubuhu kama mimi.

Binafsi nina zaidi ya 10yrs nimejaribu kuacha nmeshindwa hii kitu ni tamu jamani sijui ni kwangu tu? Hebu niambieni ndugu zangu nifanye nini ili niache, ni tamu lakini nataka kuiacha kabisa, bora hata ningekuwa nimefundishwa na mtu ningemtafuata anifundishe kuiacha.

Najuta sana kuijua mwenyewe nakosa hata wa kumlaumu.

Msaada ndugu zangu natamani mwaka huu iwe ndo mwisho wa Mimi kupiga punyeto.
Zaidi ya 10 years unapiga nganga unataka kugundua nini?
 
Ushauri wangu kwa mleta mada. Kuacha kabisa labda itakuwa ngumu but unaweza kupunguza angalau mara moja kwa mwezi hv sio mbaya. Fanya hivi... Jitoe muhanga ujilipue mpk ukuni uchubuke halafu utaniambia kama hutabaki unajiuguza michubuko ata wiki hivi mwisho wa siku utakuja kuona ni ujinga na utaacha
 
Kiukweli nyeto ni tamu sana ila ni haramu na inagharimu sana kuacha kwa wale waliokubuhu kama mimi.

Binafsi nina zaidi ya 10yrs nimejaribu kuacha nmeshindwa hii kitu ni tamu jamani sijui ni kwangu tu? Hebu niambieni ndugu zangu nifanye nini ili niache, ni tamu lakini nataka kuiacha kabisa, bora hata ningekuwa nimefundishwa na mtu ningemtafuata anifundishe kuiacha.

Najuta sana kuijua mwenyewe nakosa hata wa kumlaumu.

Msaada ndugu zangu natamani mwaka huu iwe ndo mwisho wa Mimi kupiga punyeto.
 
Kaz rahis sana kuacha mi nilijua nguli wa nyeto nikiwa peke yangu geto laxma nipige viwili fasta nikiona Demu mkali lazima nimueke staili niitakayo lakin niliacha na sijarudia tena maana muda wote nikitaka papuch ipo n Mwendo wa kugegeda tu
 
Back
Top Bottom