Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Hizo ndio akili mmeanza nazo mwaka. kazi kweli kweli
 
Heri ya Mwaka Mpya wazee wa kugegeda na kugegedwa!!

Kama mada inavyojieleza hapo juu

Nlikua mwanachama wa CHAPUTA na mjumbe wa mkutano mkuu wa CHAPUTA kwa miaka 13

Kwa siku nlipiga puli hadi goli 5

Hali hii ilinitesa sana kwa maana nikidinda kidogo tu naingia chemba kujifyatua

Lakini kuanzia mwaka Jana 2017 mwezi wa 12 mwishoni nimetembelewa na mama mtoto wangu anaeishi mkoa Jirani

Daaah tangu wakati huo hadi sasa yapata wiki ya 3 sijapiga puli nafikiri hii ndo njia nzuri ya asili ya kuacha nyeto,kaa na mwanamke karibu,ukihisi mzuka wa kujilipua usitafute soap au mafuta mfuate mwanamke wako mwombe game

Ukipiga game wiki mfululizo ule mzuka wa kupiga nyeto unaisha taratibu hatimaye unaacha kabisa

OA ili kuachana na Punyeto

Sawa ila dawa asili ya kuacha huu mchezo ni upupu tu.
 
Hii kitu imenifanya mtumwa sana, mara ya mwisho nimemimina mazaga mwezi uliopita ila kwa mwaka huu labda zitoke zenyewe ndotoni.

Cpigi tena selfie!
 
Nna kadem kako mbali tunasex chat adi napiga kigoli nahisi nayo ni aina ya nyeto
 
Heri ya Mwaka Mpya wazee wa kugegeda na kugegedwa!!

Kama mada inavyojieleza hapo juu

Nlikua mwanachama wa CHAPUTA na mjumbe wa mkutano mkuu wa CHAPUTA kwa miaka 13

Kwa siku nlipiga puli hadi goli 5

Hali hii ilinitesa sana kwa maana nikidinda kidogo tu naingia chemba kujifyatua

Lakini kuanzia mwaka Jana 2017 mwezi wa 12 mwishoni nimetembelewa na mama mtoto wangu anaeishi mkoa Jirani

Daaah tangu wakati huo hadi sasa yapata wiki ya 3 sijapiga puli nafikiri hii ndo njia nzuri ya asili ya kuacha nyeto,kaa na mwanamke karibu,ukihisi mzuka wa kujilipua usitafute soap au mafuta mfuate mwanamke wako mwombe game

Ukipiga game wiki mfululizo ule mzuka wa kupiga nyeto unaisha taratibu hatimaye unaacha kabisa

OA ili kuachana na Punyeto
We utakuwa umenunuliwa.. kama chama letu limekushinda ondoka kimyakimya sio unatuharibia mudi.. kuoa ndio nini.. #@$$%€**.. idumu CHAPUTA.
 
Kwel xxm kiboko imeanza kununua mpaka wanachama wa chaputa tena viongoz waandamiz kabisa unawezaje mtu kujitoa chaputa kwa hoja dhaifu kias hiki?
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ww kama kiongozi wetu,,,, wanachama wako wa CHAPUTA tunalaani na uamuzi uliochukua tunaomba rudi utuongoze jahaz letu maana bado wanachama tunakuitaji
 
Kwa siku nyeto goli tano (5)
Ooooooh!!my GOD..I can't believe!!
 
Back
Top Bottom