Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Kikubwa ni kuwa na mke wako karibu au mpenzi wako maana inaonekana kutokuwepo kwao huwa chanzo chá kujilipua. Ila nakumbuka kama vile iliwahi kuja comment ya kuwa Yuko na mke ila Bado anajilipua. Sikupata kuelewa hiyo inatokana na Nini. Ila saafi kwa kugundua umuhimu wa kuishi na mkeo karibu.
 
Heri ya Mwaka Mpya wazee wa kugegeda na kugegedwa!!

Kama mada inavyojieleza hapo juu

Nlikua mwanachama wa CHAPUTA na mjumbe wa mkutano mkuu wa CHAPUTA kwa miaka 13

Kwa siku nlipiga puli hadi goli 5

Hali hii ilinitesa sana kwa maana nikidinda kidogo tu naingia chemba kujifyatua

Lakini kuanzia mwaka Jana 2017 mwezi wa 12 mwishoni nimetembelewa na mama mtoto wangu anaeishi mkoa Jirani

Daaah tangu wakati huo hadi sasa yapata wiki ya 3 sijapiga puli nafikiri hii ndo njia nzuri ya asili ya kuacha nyeto,kaa na mwanamke karibu,ukihisi mzuka wa kujilipua usitafute soap au mafuta mfuate mwanamke wako mwombe game

Ukipiga game wiki mfululizo ule mzuka wa kupiga nyeto unaisha taratibu hatimaye unaacha kabisa

OA ili kuachana na Punyeto
Tunaitaga likizo ya mwaka. Hata makazini ipo
 
faida ya nyeto, huwezipata ukimwi!
rudi katika chama mkuu
 
endelea na punyeto utaishia kuwa mchele mchele kama sio gay!

mje na huku nimeshusha hadithi mpya... shuka chini utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Inna umeona?
Mada za kujenga ndoa ndio hizi sio unashinda kwenye thread za mshana anatuma picha za nyoka nyoka na tunguli
Vitu vinavyo patikana humu[emoji160] haviwezi kuniacha salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawaza mshana akiona hii comment si utarogwa jamaa angu??
Na siku ukiwa na mzuka then ukanyimwa utapiga tena
Week 3 ngumu sana kusema umeacha nyeto
hata hivyo si ataondoka tu! he he he.. jasiri aachi asili
Nyeto is better than sex
Kwel xxm kiboko imeanza kununua mpaka wanachama wa chaputa tena viongoz waandamiz kabisa unawezaje mtu kujitoa chaputa kwa hoja dhaifu kias hiki?
Hizo ndio akili mmeanza nazo mwaka. kazi kweli kweli
Mwaka mpya na akili mpya
Happy new year
Mi kwa kweli cha mwisho nimepiga jana usiku sa tano, nimeamua kuacha
Sawa ila dawa asili ya kuacha huu mchezo ni upupu tu.
Nilikuwa sijawahi kupiga nyeto ila mada za nyeto huku jf ndizo zilizonifanya nijaribu. Inasikitisha sana.
Tunaitaga likizo ya mwaka. Hata makazini ipo
faida ya nyeto, huwezipata ukimwi!
rudi katika chama mkuu
Tunaitaga likizo ya mwaka. Hata makazini ipo
Nilikuwa sijawahi kupiga nyeto ila mada za nyeto huku jf ndizo zilizonifanya nijaribu. Inasikitisha sana.
mje na huku nimeshusha hadithi mpya... shuka chini utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
wiki 3 ni ndogo sana kusema et umeacha nyeto.. Mapumziko mema mjumbe
 
Mjumbe mwenye kadi namba 349000 nakumbuka ulifutwa uanachama
 
Back
Top Bottom