Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Kama mimi najitambua ndio maana nimeacha, kikubwa tazama madhara kuliko faida lazima utaacha tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3], nilichogundua hii kitu hufanywa na watu kwa sababu hiii hapa
##Wanaume/vijana tulio wengi tunapenda ku share mapenz na wanawake wa mbali au gate kali kiasi kwamba mtu ataukimuhitaji ni ngumu kumpata, unakuwa na girl miez mitatu huoni papuch zaid ya kutiana ny*g kwen sms na vipicha unafikir kinachofuata hapo ni kupiga pul tu#
Njia ya kuacha hii kitu ni kutafut girl ambaye utakuwa nae karibu hata kwa week mbili ukipata mchezo wala huwezi kufikilia hii kitu ya CHAPUTA
Tht's only point mkuu
 
Katika kuchunguza kwangu.....naamini kabisa kupiga nyeto kunamuingiliano mkubwa sana wa kuwa mtu anaingiwa na jini au shetani flani linamswtch kwenda kupiga akishamaliza linamtoka na kumuacha anaduaa tu......ndo mana kuacha ni ngumu sana
dah kuna ukweli hapa isee
 
Nimepiga sana puchu daah yani hata kipindi nilichokua nina mpenzi ni lazima nipige puchu ila kwa sasa nayaona madhara yake aisee! Ni wiki sasa tangu niamue kuachana na mchezo huu wa kipuuzi nategemea sinto kuja piga teena puchu kwahelini makamanda kwahelini chaputa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mwaka huu uwe wa mwisho kupiga nyeto,jaribu kumrudia muumba wako pia kaa mbali na vitu vinavyoweza kukushawishi.
Hii kitu kuacha ni mtihani inahitaji kujitoa haswa.

Atakaaje mbali na hivyo vitu maana ni mboro yake na mkono wake, akiingia bafuni sabuni ipo au aache oga? Akimaliza oga mafuta ya kupaka hayo au aache kupaka mafuta? Waliokubuhu wanapiga nyeto hata na mate.
 
Atakaaje mbali na hivyo vitu maana ni mboro yake na mkono wake, akiingia bafuni sabuni ipo au aache oga? Akimaliza oga mafuta ya kupaka hayo au aache kupaka mafuta? Waliokubuhu wanapiga nyeto hata na mate.
Aache kuangalia porn maana hizi video ndio chanzo kwa kiasi kikubwa,kujishughulisha,kufanya mazoezi.
 
Puchu/Nyeto/kuwasha mshumaa kuna madhara aloo

1:Maumivu ya mgongo
2:Kuwahi kupizi(kumwaga)
3:kushindwa kuwahi kurudia tendo /kushindwa kabisa
4: viungo kukaza hasa kwenye maungio

Masela puchu taamu ila ina kero haswa ukipata mbunye.. Nimepatwa na maswahibu hayo naacha sasa kwahelini chaputa
 
Atakaaje mbali na hivyo vitu maana ni mboro yake na mkono wake, akiingia bafuni sabuni ipo au aache oga? Akimaliza oga mafuta ya kupaka hayo au aache kupaka mafuta? Waliokubuhu wanapiga nyeto hata na mate.
nilkuwa fundi
 
Nimepiga saana puchu daah yani hata kipindi nilichokua nna mpenzi ni lazima nipige puchu ila kwa sasa nayaona madhara yake aisee! Ni wiki sasa tangu niamue kuachana na mchezo huu wa kipuuzi nategemea sinto kuja piga teena puchu kwahelini makamanda kwahelini chaputa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] week tu mkuu, aisee bado sana
 
Nina mwaka wa 11 sasa napiga punyeto na sijui lini ntaacha sioni dalili za kuacha kipindi iki japo kuna wakati nakaa adi mwezi bila kupiga sababu za kupata dem zaid ya mmoja, pia kuna kipindi napiga nyeto adi mara mbili kwa siku
 
Back
Top Bottom